Neno linalotumika JF ''Mimi napita tu"

Neno linalotumika JF ''Mimi napita tu"

Nimeitwa ngoja Nipite nikirudi nitrampa ujumbe wake!!!

Chonde Chonde Tafadhali Usije Ukampa Huo Ujumbe Fahamu Ya Kwamba Huyo Unaye Taka Kumpa Ujumbe Ni Mp Wangu.Heshimu Mali Za Watu Tafadhali. We Pita Tu Na Usirudi Tena.
 
wala sijapita.

Nashukuru kama hujapita .Nilitaka kujua kwa sasa unaishi mkoa gani, wilaya gani pia wewe ni kabila gani .Kwa upande wangu ni Mgogo Kwa Sasa Nipo Songea Sehemu Iitwayo Bombambili Vipi Wewe Unaishi Wapi.Naomba Unijibu Haraka Kabla Bundle Langu Halijaisha Maana Saa 8 kamili bundle linaisha.
 
Back
Top Bottom