Neno linalotumika JF ''Mimi napita tu"

Neno linalotumika JF ''Mimi napita tu"

nimelimisi hili jukwaaa!!!? napita tu, nitarudi
 
me mwelewa sana hata mme wangu Mwanyasi analijua hilo sema tu hujui.

Hakika kama kungekuwa na watu kama 100 hivi ambao ni wapole kama wewe humu jamvini .Ningekaa kwa amani sana .Kila nikikuona najikuta na furahi tu .Sasa janeth1 hebu nipe siri ya mafanikio yako tafadhali
 
Last edited by a moderator:

kumcha MUNGU.
 
Last edited by a moderator:
kweli yaelekea nimepotea njia nipitie wapi?
mambo yalinibana sana ndo mana niliadimika sana ila sasa nipo
Umepotea wewe na nina siku nyingi sijakuona .Ulipotelea wapi maana ili baki kidogo niende ku report polisi kuhusu kupotea kwako.
 
Back
Top Bottom