Mimi sio bodaboda ila nimeshuhudia leo vijana wanakimbizwa kwenye vijiwe vyao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio bodaboda ila nimeshuhudia leo vijana wanakimbizwa kwenye vijiwe vyao.
IT'S UNTIL ALL WELLS ARE DRY THAT THE PRICE OF WATER IS KNOWNSent using Jamii Forums mobile app
Sawa mtetezi wa boda boda.Mimi sio bodaboda ila nimeshuhudia leo vijana wanakimbizwa kwenye vijiwe vyao.
Sent using Jamii Forums mobile app
We waambie wafate sheria basi sio ukisimamishwa unakimbiaKabla ya Lugola kuteuliwa kuwa waziri wa mambo ya ndani bodaboda walikuwa wananyanyaswa sana na askari, kila askari aliyekuwa ana shida na pesa alikuwa anazitafutia kwa bodaboda, lakini Lugola alidhibiti hali hii na huenda ikawa sababu ya kuchukiwa na askari polisi maana alikata mirija yao.
Leo nimeshuhudia tena polisi wakianza kukamata pikipiki tena kwa kuwafukuza waendesha bodaboda kwenye vijiwe ni dhahiri kuwa pikipiki zinaenda kujazana tena kwenye vituo vya polisi, lakini ajali nyingi za bodaboda zinasababishwa na kufukuzwa na askari polisi.
Wito kwa waziri mpya azuie hili la polisi kuwafanya bodaboda mitaji zuio la Lugola liendelee kufanya kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubovu wake ulikuwa kwenye nini hasa?? Au akishaongea mkulu basi wote mnafatisha kama manyumbu? Akisema alikosea na kumrudisha mnageuka na kuanza kusifu na kupongeza!! WooiiiiLugola ingawa aliwahi kuwa polis ila alikuwa waziri Wa mambo hovyo Mara kumi ya mwigulu, alichojua Ni kuzungusha viuno tu Na tambo zisizo Na mashiko
Tuambie mwigulu alifanya vitu gani vya msingi ambavyo vinaonekana dhahiri matunda yake?Lugola ingawa aliwahi kuwa polis ila alikuwa waziri Wa mambo hovyo Mara kumi ya mwigulu, alichojua Ni kuzungusha viuno tu Na tambo zisizo Na mashiko
Ninja anajua kukata uno balaaa haha,Sikuwahi kufikiri Siasa za Tz zitafika huku.ninja.
Kwa nini?wewe ni first born wake ???
WordIla wakuu tukitafakari vyema hivi kweli mpk hawa wakuu kwenda kusaini huo mkataba wa takribani 1t ikulu isijue kweli kwanza waliendaje bila kibali maana tuliambiwa hakuna mtumishi kwenda nje bila kibali cha ikulu
Nadhani hapa tumelishwa taarifa mbaya ili tuwaone hawa wakuu hawafai na kwa kuwa wana kiapo hawawezi kusema
Nliiandika humu.wee Lugora achana kunyanyasa walokole mitume na manabii akajitia mjuaji na hajali Kiko wapi aende zake huko na amwambie Sophia Mjema mkuu wa wilaya ya Ilala anayejifanya babe pamoja na kuonywa .Ajiandae na ujuaji wake wa kuegemea kwa Lugora Ajiandae