epicurus
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 280
- 179
Ila wakuu tukitafakari vyema hivi kweli mpk hawa wakuu kwenda kusaini huo mkataba wa takribani 1t ikulu isijue kweli kwanza waliendaje bila kibali maana tuliambiwa hakuna mtumishi kwenda nje bila kibali cha ikulu
Nadhani hapa tumelishwa taarifa mbaya ili tuwaone hawa wakuu hawafai na kwa kuwa wana kiapo hawawezi kusema
Hapo dish liliyumba, kwa hy tv ilionesha chenga chenga