Uchaguzi 2020 NEC yashindwa kuzitolea majibu Rufaa 16 za Wagombea udiwani wa CHADEMA Mbeya Mjini, Wananchi watinga kwa DED kuulizia

Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua maana ya maswali kama haya tunayouliza humu mitandaoni.

Sasa ni dhahiri kwamba Wilson Mahera hana uwezo wala hana uhuru wa kusimamia uchaguzi huru na wa haki , hii ni baada ya kuzikalia Rufaa 16 za madiwani wa chadema walioenguliwa kihuni na Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Mbeya Mjini ili kukibeba chama kilichokwisha cha ccm jimboni humo , mambo kama haya ya kijinga yaliyojaa uonevu , ndio yanayoharibu amani kwenye nchi nyingi duni za kiafrica , hadi naandika hapa hakuna rufaa hata moja kati ya hizo 16 iliyotolewa majibu , kama Mahera anabisha ajitokeze kukanusha.

Hapa chini naambatanisha video inayowaonyesha wakazi halisi wa Mbeya Mjini wakiomba dua kwenye ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi huku wakitaka Majibu ya rufaa za wagombea wao.

View attachment 1608591
Vipi wamepandwa na mashetani au?
 
1603388662330.png

1603388677857.png

1603388699033.png

Tunaambiwa tupige kura twende nyumbani kumbe mipango ndiyo hii.
 
Mahera anawasaidia CCM na Tulia mpaka anatia kinyaa, asijaribu kuchezea haki za watu kizembe namna hiyo, yatakayotokea mtakuja kujibu.
Tulia ana nini mpaka abebwe kwa gharama kubwa kiasi hicho
 
Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua maana ya maswali kama haya tunayouliza humu mitandaoni.

Sasa ni dhahiri kwamba Wilson Mahera hana uwezo wala hana uhuru wa kusimamia uchaguzi huru na wa haki , hii ni baada ya kuzikalia Rufaa 16 za madiwani wa chadema walioenguliwa kihuni na Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo la Mbeya Mjini ili kukibeba chama kilichokwisha cha ccm jimboni humo , mambo kama haya ya kijinga yaliyojaa uonevu , ndio yanayoharibu amani kwenye nchi nyingi duni za kiafrica , hadi naandika hapa hakuna rufaa hata moja kati ya hizo 16 iliyotolewa majibu , kama Mahera anabisha ajitokeze kukanusha.

Hapa chini naambatanisha video inayowaonyesha wakazi halisi wa Mbeya Mjini wakiomba dua kwenye ofisi ya msimamizi wa Uchaguzi huku wakitaka Majibu ya rufaa za wagombea wao.

View attachment 1608591
NEC inaitakia nchi mabaya.
 
Back
Top Bottom