MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,992
- 10,497
shwain fakurKama wamegomea viti maalum waachwe.
Kazi ya kuwakilisha wananchi haihitaji kulazimisha wala kulazimishwa
Maendeleo hayana vyama
shwain fakurKama wamegomea viti maalum waachwe.
Kazi ya kuwakilisha wananchi haihitaji kulazimisha wala kulazimishwa
Maendeleo hayana vyama
kamuulizeni yule mgonwa wenu NDUGEY alikuwa anawapisha kinanani pale kwenye hema mlilotengeneza kwa aili ya usanii wenuJambo jema kabisa mkuu
BuzaHabari za wapi ndugu
Sio peke yangu nilioamini kuwa Esther Bulaya hawezi kufanya aliyofanya. Tulikosea na bila shaka huko mbeleni kuna mahali tutakosea tena. Haikuwa mara ya kwanza ( niliamini kwa dhati Sumaye hawawezi kurudi CCM) na haitakuwa mara ya mwisho.Habari za wapi ndugu
Kuna viazi vingi vina kera sana humu ifHuku nafsi yako inakusuta