Uchaguzi 2020 NEC yakiri haijapokea majina ya CHADEMA Viti Maalum. Hongera CHADEMA kwa msimamo

Habari za wapi ndugu
Sio peke yangu nilioamini kuwa Esther Bulaya hawezi kufanya aliyofanya. Tulikosea na bila shaka huko mbeleni kuna mahali tutakosea tena. Haikuwa mara ya kwanza ( niliamini kwa dhati Sumaye hawawezi kurudi CCM) na haitakuwa mara ya mwisho.

Amandla...
 
CHADEMA pelekeni majina tofauti kabisa na wale masnitch wenu ili hili jambo liwe la moto kwa TUME
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom