Tindikali Kali
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 539
- 383
Uwahongere na 2025! Kama utakuwa hujafa...
Hujui utaratibu wa viti maalumuNapendekeza wakiendelea kuzira, nafasi zao wapewe chama vingine.
Kumbe bado mnavipenda!? Pumbavu!!!Hujui utaratibu wa viti maalumu
Hivi bila kuweka neno "Pumbavu" ujumbe wako usingefika!? Katika comment yangu kuna tusi lolote?Kumbe bado mnavipenda!? Pumbavu!!!
Mkuu hiyo inaonesha mtu huyo hana elimu na hajasitarabika.Hivi bila kuweka neno "Pumbavu" ujumbe wako usingefika!? Katika comment yangu kuna tusi lolote?
Uko sahihi kabisa.Mkuu hiyo inaonesha mtu huyo hana elimu na hajasitarabika.
Ujumbe wako unakuvua nguo ndugu yangu demokrasia gani maamuzi yanapitishwa kwa wabunge wote kugonga meza hakuna mawazo mbadala, wabunge wote wamepewa dhamana na chama tawala unataka wamkosoe mwenyekiti wao wa chama kumbuka maswala ya escrow, epa Richmond namna wapinzani walivopigania mali hizi za umma.Demokrasia haimaanishi lazima kuwe na Wabunge wa Upinzani. Watanzania wameamua kuchagua Wabunge wa CCM. Maamuzi yao ndio demokrasia.
Siku wakitaka kuchagua wapinzani watawachagua.
CHADEMA kama hawataki kushiriki Bunge ni chaguo lao. Kwanza wananchi wameshawakataa kwa kiasi kikubwa, kwahiyo hakuna madhara yoyote wasipokuwepo.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera, alisema tume bado haijapokea orodha hiyo kama ambavyo imekuwa ikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
“Kuna orodha ya majina inayosambaa kwenye mitandao ikionyesha majina ya wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA. Orodha hiyo si ya kweli kwani hadi sasa hatujapokea orodha ya majina ya walioteuliwa kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalumu kutoka chama hicho,” alisema.
Mkurugenzi huyo alisema amesikitishwa na taarifa ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, iliyodai kuwa orodha ya majina hayo ni ya tume.
“Tume tumesikitishwa sana kusikia Katibu wa CHADEMA, John Mnyika, akidai kuwa orodha ya majina ya wa bunge wa viti maalumu ni ya tume. Imetusikitisha sana kwa kuwa siyo kweli,” aliongeza.
Dk. Mahera alisema aliwasiliana na Mnyika kwa kumpigia simu na kumwandikia barua ya kuulizia orodha ya majina hayo na kumwambia asubiri mpaka atakapoyaleta yeye mwenyewe baada ya utaratibu wa chama kukamilika.
“Mnyika mwenyewe anafahamu kuwa bado hatujapokea majina na alisema atayaleta majina hayo yeye mwenye endapo watakamilisha utaratibu wao, hivyo mpaka sasa hivi, NEC hatujapokea majina kutoka CHADEMA ambayo yamesainiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho,” alisema Mahera.
“Bado tunasubiri majina hayo ambayo yametiwa saini na kupigwa muhuri wa Katibu Mkuu wa chama kwa kuwa utaratibu ndio unaelekeza hivyo,” alisisitiza.
Kutokana na kuvuja kwa orodha hiyo, kuna taarifa kwamba Mnyika alimwandikia barua Dk. Mahera, kutaka kupewa ufafanuzi kama tume imeshatangaza na kuwasilisha bungeni majina 19 ya wabunge wa viti maalumu wa chama hicho.
Aidha, tangu kutoka kwa mijana hayo kwenye mitandao, kumekuwa na taharuki juu ya chanzo halisi cha majini hayo, huku wapinzani, wakiwamo CHADEMA, wakiirushia lawama NEC kuwa ndiyo imehusika.
Chanzo cha habari ni Gazeti la Nipashe
Demokrasia haimaanishi lazima kuwe na Wabunge wa Upinzani. Watanzania wameamua kuchagua Wabunge wa CCM. Maamuzi yao ndio demokrasia.
Siku wakitaka kuchagua wapinzani watawachagua.
CHADEMA kama hawataki kushiriki Bunge ni chaguo lao. Kwanza wananchi wameshawakataa kwa kiasi kikubwa, kwahiyo hakuna madhara yoyote wasipokuwepo.
Watanzania au tumeDemokrasia haimaanishi lazima kuwe na Wabunge wa Upinzani. Watanzania wameamua kuchagua Wabunge wa CCM. Maamuzi yao ndio demokrasia.
Siku wakitaka kuchagua wapinzani watawachagua.
CHADEMA kama hawataki kushiriki Bunge ni chaguo lao. Kwanza wananchi wameshawakataa kwa kiasi kikubwa, kwahiyo hakuna madhara yoyote wasipokuwepo.
Hao ndio wasomi wa kibongo. Hatari sana.Usikute umesoma hadi chuo kikuu.
Mkuu,“Bado tunasubiri majina hayo ambayo yametiwa saini na kupigwa muhuri wa Katibu Mkuu wa chama kwa kuwa utaratibu ndio unaelekeza hivyo,” Mkurugenzi wa uchaguzi, Wilson Mahera.
Kumbe utaratibu unajulikana.
Subiri kamati kuu ikae ndipo uje na speculation zako.Mkuu,
Haijulikani ni lini KM Mnyika aliwasiliana na Mkurugenzi tume Mahera na taarifa kuonekana kwenye mitandao tarehe 12/11/2020 ikidai majina ya wateuliwa yalikuwa bado kupelekwa. Hata hivyo hujaeleza kati ya tarehe 12/11/2020 hadi 24/11/2020 kitu gani kilitokea kuthibitisha upelekaji wa majina tume au mawasiliano ya aina yoyote na Mkurugenzi tume. Inawezekana kati ya tarehe hizo kitendo cha upelekaji majina mlikifanya lakini mkachelea kuweka hadharani kwa sababu mnazozijua ili kuzikana baada ya kusoma upepo wa mihemko ya wanachama na viongozi ambao hawakufurahishwa mapendekezo ya majina hayo..
Hiyo fraud mnayodai kutendeka imeanzia ndani ya chama chenu kwakuwa hamkuwa na muafaka wa nani aende na kwanini na wahusika ni viongozi wanaoaminika na kuheshimika katika maamuzi.
Tangazo la jumla kwa umma kuwataka wabunge 19 viti maalumu wa CDM walioapishwa hivi karibuni bila kuwataja majina yao na bila kutaja waliapa wapi ni upungufu usiotibika na kama watahudhuria huo wito naamini mtakorogana sana siku hiyo na huenda mazonge yatakayojitokeza ni kutuhumiwa wewe kama ndiye Mnyika kushiriki kuwanyanyasa, kuwatweza, na kuwatishia hadharani kabla ya kuwasikiliza, kuwadhalilisha wakati ukijua ni viongozi wenzio.
Hiyo kamati kuu inatimiza qorum kwa wajumbe wangapi wakati miongoni mwa wabunge hao, watano ni wajumbe?
Maamuzi ya busara kwa manufaa ya watu wengi ndio usalama wa chama chenu..........
Mungu wabariki wabunge wa viti maalum wa Chadema wakiongozwa na Halima MdeeTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema haijapokea orodha ya majina ya wabunge wa viti maalumu kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza na Nipashe jana kwa njia ya simu, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa NEC, Dk. Wilson Mahera, alisema tume bado haijapokea orodha hiyo kama ambavyo imekuwa ikisambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
“Kuna orodha ya majina inayosambaa kwenye mitandao ikionyesha majina ya wabunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA. Orodha hiyo si ya kweli kwani hadi sasa hatujapokea orodha ya majina ya walioteuliwa kwenye nafasi ya ubunge wa viti maalumu kutoka chama hicho,” alisema.
Mkurugenzi huyo alisema amesikitishwa na taarifa ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, iliyodai kuwa orodha ya majina hayo ni ya tume.
“Tume tumesikitishwa sana kusikia Katibu wa CHADEMA, John Mnyika, akidai kuwa orodha ya majina ya wa bunge wa viti maalumu ni ya tume. Imetusikitisha sana kwa kuwa siyo kweli,” aliongeza.
Dk. Mahera alisema aliwasiliana na Mnyika kwa kumpigia simu na kumwandikia barua ya kuulizia orodha ya majina hayo na kumwambia asubiri mpaka atakapoyaleta yeye mwenyewe baada ya utaratibu wa chama kukamilika.
“Mnyika mwenyewe anafahamu kuwa bado hatujapokea majina na alisema atayaleta majina hayo yeye mwenye endapo watakamilisha utaratibu wao, hivyo mpaka sasa hivi, NEC hatujapokea majina kutoka CHADEMA ambayo yamesainiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho,” alisema Mahera.
“Bado tunasubiri majina hayo ambayo yametiwa saini na kupigwa muhuri wa Katibu Mkuu wa chama kwa kuwa utaratibu ndio unaelekeza hivyo,” alisisitiza.
Kutokana na kuvuja kwa orodha hiyo, kuna taarifa kwamba Mnyika alimwandikia barua Dk. Mahera, kutaka kupewa ufafanuzi kama tume imeshatangaza na kuwasilisha bungeni majina 19 ya wabunge wa viti maalumu wa chama hicho.
Aidha, tangu kutoka kwa mijana hayo kwenye mitandao, kumekuwa na taharuki juu ya chanzo halisi cha majini hayo, huku wapinzani, wakiwamo CHADEMA, wakiirushia lawama NEC kuwa ndiyo imehusika.
Chanzo cha habari ni Gazeti la Nipashe
Mungu wabariki wabunge wa viti maalum wa Chadema wakiongozwa na Halima Mdee.
Habari za wapi nduguEster Bulaya anasingiziwa. Nia ni kuibomoa BAWACHA ambayo imeonyesha umahiri wake katika Uchaguzi uliopita.
Amandla...
mumejaa wizi uonevu mpaka kwenye makalioJambo jema kabisa mkuu