Mwakaboko King
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 1,099
- 207
Kada wa ccm huyo
Swissme
yale yale.... spika jana kasema kapeleka taarifa leo tume wanasema hawajapokea taarifa
hii nchi hii ishashindikana
spika muongo muongo sana na anajiaibisha tu
Weka hata ka summary kidogo, wengine tuna bando ya 200 hatuwezi fungua video.
Kwa hiyo Ndugai ni muongo?
Maana Ndugai alisema jana kuwa tayari wameshaitaarifu tume ya uchaguzi kuhusu Lazaro Nyalandu kupoteza ubunge wake.
Sasa tume leo inasema haijapokea hiyo taarifa. Hiyo ina maanisha nini?
Huyu mpuuzi ni kada halisi wa chama cha kijani.
Huo ukada kwa lipi sasa ye ndo kamtuma mtu ajiuzulu mbona chuki zingine hazina mashikoHuyu mpuuzi ni kada halisi wa chama cha kijani.
Kama wa kwakoTatizo hapa naona ni uelewa mdogo tu!
Ota mkia kwanza.Huo ukada kwa lipi sasa ye ndo kamtuma mtu ajiuzulu mbona chuki zingine hazina mashiko
Hao ndo wale UNAOGELEA kwenye maji wanasema unawatimulia vumbiUmesikiliza aunumeambiwa! Amesema wakipokea barua atasema kwani ni Siri?
Mkuu Ttz la Tanzania kwa sasa nafikir sio CCM. Ttz tunaupinzan wa ovyo sana.Wao ni CHUKI tu na kupinga kwa matusi kwa mgongo wa uhuru wa kutoa MAONI.sijaona tatizo hapo mpaka ukaamua kumwita mpuuzi!
Ukiweka pembeni ukada wake, je, hapo kosa lake ni lipi ?Huyu mpuuzi ni kada halisi wa chama cha kijani.
yale yale.... spika jana kasema kapeleka taarifa leo tume wanasema hawajapokea taarifa
hii nchi hii ishashindikana
spika muongo muongo sana na anajiaibisha tu
Nani anatakiwa kupeleka barua NEC?Weka ukweli wako basi na wewe! Sasa wewe hata hujiongezi sasa unaona Bunge na Tume viko ofisi moja?