Kinjekitile junior
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 4,404
- 581
Nani anatakiwa kupeleka barua NEC?
Sasa upuuzi wake ni Upi hapo ?? Acha jazba na jenga hojaHuyu mpuuzi ni kada halisi wa chama cha kijani.
In short kwa kukwepa aibu mkuu wa mihimili atasema hakuna uchaguzi kwenye hilo jimbo hadi 2020.
Kafafanua vzr, Office ya Bunge bado kuifikisha barua husika kwake.Huyu mpuuzi ni kada halisi wa chama cha kijani.
Sijui hujala auSwali gani unauliza wewe kwani mawasiliano ya ofisi huyajui? Au unataka ipelekwe kwa miguu ikiwa LIVE na tv zipo ndo ujue inapelekwaje?
Ona mchango kama huu kweli sijui kama hata kasikiliza nini kimesemwaOta mkia kwanza.
Kula wembe Basi KamandaWanaiga uongo wa Mwenyekiti wao dikteta uchwara. The
Weka ukweli wako basi na wewe! Sasa wewe hata hujiongezi sasa unaona Bunge na Tume viko ofisi moja?
yale yale.... spika jana kasema kapeleka taarifa leo tume wanasema hawajapokea taarifa
hii nchi hii ishashindikana
spika muongo muongo sana na anajiaibisha tu
In short kwa kukwepa aibu mkuu wa mihimili atasema hakuna uchaguzi kwenye hilo jimbo hadi 2020.
Kwa dunia hii ya technology hakuna ulazima wa kuwa ofisi moja ndio upate taarifa. Au bado taasisi za umma ziko ulimwengu wa Analogia wakati Digital ndio mpango mzima?
HahahahaOna mchango kama huu kweli sijui kama hata kasikiliza nini kimesemwa
Nani anatakiwa kupeleka barua NEC?
Nani anatakiwa kupeleka barua NEC?
Sikiliza vizuriUkiweka pembeni ukada wake, je, hapo kosa lake ni lipi ?
Tafuta zenye mashikoHuo ukada kwa lipi sasa ye ndo kamtuma mtu ajiuzulu mbona chuki zingine hazina mashiko