NEC: Bado hatujapokea Barua ya Kuvuliwa Ubunge wa Nyalandu kutoka kwa Spika

Mwakaboko King

JF-Expert Member
Apr 22, 2015
1,099
207
Kufuatia Mbunge Lazaro Nyalandu kutangaza kuhamia CHADEMA na kuachia nafasi yake ya Ubunge wa jimbo la Singida Mashariki kumekua na maswali mengi juu ya nafasi wazi ya jimbo lake na nini kitafuata, NEC kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Uchaguzi Kailima Ramadhani imetoa ufafanuzi huu wa kisheria!

yale yale.... spika jana kasema kapeleka taarifa leo tume wanasema hawajapokea taarifa
hii nchi hii ishashindikana

spika muongo muongo sana na anajiaibisha tu

Weka ukweli wako basi na wewe! Sasa wewe hata hujiongezi sasa unaona Bunge na Tume viko ofisi moja?
 
Kwa hiyo Ndugai ni muongo?
Maana Ndugai alisema jana kuwa tayari wameshaitaarifu tume ya uchaguzi kuhusu Lazaro Nyalandu kupoteza ubunge wake.
Sasa tume leo inasema haijapokea hiyo taarifa. Hiyo ina maanisha nini?
 
Umesikiliza aunumeambiwa! Amesema wakipokea barua atasema kwani ni Siri?
 
Tatizo hapa naona ni uelewa mdogo tu!Tumezoea kulalamika na kubisha hata kwa mambo tusiyoyajua mpaka inakera! Kama ni darasani mwalimu wako alipata taabu sana kukufundisha na unaonekana una element za kibaguzi.

Huyu mpuuzi ni kada halisi wa chama cha kijani.
 
In short kwa kukwepa aibu mkuu wa mihimili atasema hakuna uchaguzi kwenye hilo jimbo hadi 2020.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
sijaona tatizo hapo mpaka ukaamua kumwita mpuuzi!
Mkuu Ttz la Tanzania kwa sasa nafikir sio CCM. Ttz tunaupinzan wa ovyo sana.Wao ni CHUKI tu na kupinga kwa matusi kwa mgongo wa uhuru wa kutoa MAONI.
 
Wanaiga uongo wa Mwenyekiti wao dikteta uchwara. The

yale yale.... spika jana kasema kapeleka taarifa leo tume wanasema hawajapokea taarifa
hii nchi hii ishashindikana

spika muongo muongo sana na anajiaibisha tu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom