Mwakaboko King
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 1,099
- 207
Kufuatia Mbunge Lazaro Nyalandu kutangaza kuhamia CHADEMA na kuachia nafasi yake ya Ubunge wa jimbo la Singida Mashariki kumekua na maswali mengi juu ya nafasi wazi ya jimbo lake na nini kitafuata, NEC kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Uchaguzi Kailima Ramadhani imetoa ufafanuzi huu wa kisheria!