Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,506
- 2,897
Imekuwa ni jambo la kawaida kwa nchi za kiislamu kukuta wanapiga marufuku watu kula chakula hadharani wakati wa mfungo wa Ramadhan ata kama sio Waislam
Wengine hukumbana na adhabu Kali wanapokamatwa wakila chakula
Sasa maswali yangu ni haya yafuatayo;
1; Je ninyi wenzetu hamuwezi kufunga Hadi mfichiwe chakula?🤔
2; Je ni harali kuwalazimisha ata wasio kuwa Waislam kuamini mfungo wenu?🤔
3; Je mtu asiyekuwa muislam akila chakula chake wewe uliyefunga unaathirika kivipi?🤔
4; Je ni sahihi Iman yenu ninyi kuingilia uhuru wa wengine?🤔
Ahsanteni