LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,120
- 27,126
Wengine wanasema, Msumbiji sio salama kwa watanzania..Wengine wanasema , Msumbiji pako vizuri na fursa tele..NANI ANASEMA UKWELI? WABONGO MNAOISHI MOZAMBIQUE..FUNGUKENI TUJUE UKWELI.
CLICK HAPA CHINI, KUCHEKI COMMENTS ZOTE.
HIZI NI BAADHI YA COMMENTS ZA WABONGO KUHUSU MAISHA YA MSUMBIJI.
========
Husen Melly Nipo somalia mwaka wa kumi sasa, huku maisha ni safi nirudi bongo nimesahau nini life anywhere ukiwa na pesa bhana wala hakuna shida......
Títhó Nêgélõ Mhágàmâ EATV wekeni maada zenye kuelimisha jamiii mbona swali lenu la kijnga xana EATV na nyie jipu inabidi aje MAGUFULI.
Cymon Urio Ata somalia naenda? Nakule walipo IS???? 500 milz hey; ar u serious.... Nitafungua duka la silaha nikiwa somalia.?
Highbury Wacjuu Nipo msumbiji mwaka watatu huu ila bado mambo kidogo tu kumaliza nije nichukuwe familia yangu yani siitaki hata kusikia kama kuna tz tena nilikuja na msingi wa milioni tatu tu xaxaiv iyo hela yenu ya esrcow naikaribia
Man Jacks Hakuna wa kukupa milion500! Ndio mnawajaza vijana ujinga tu ohh nasubiri nipendwe na limama ili nitoke! Ndoto za mchana hizo!!
Mnyakyusa Geofrey Mwanaharakati Milioni 500 hata mkisema CONGO nitaenda na Sirudi tena. Ila admin unayetoa hizi post unatakiwa uwe makini na maswali yako, maana unatamanisha watu huku wakati wengine Hata Kupata Shs 100 (mia moja) kwa siku zinawashinda. Be careful admin utasababisha watu wawake tamaa huku mitaani waende kuiba baada ya kusikia hiyo milion 500.
Pius Edwin kwa nini mkasema msumbiji..ina maana msumbiji hapawezekaniki kuishi...kwa nini msiseme london...anyway ila nyie eatv siku hizi akili zenu vilaza...toeni post za kusaidia kumkwamua mtanzania mnyonge watu wachangie....baada ya kusema yote hayo nirudi kwenye point...siwezi kuukana utaifa wangu kwa kutumia pesa...
Rukia Salehe Kama Hamna mada za kuweka semeni tuu co mnakuwa kma watoto mada gan ya kitoto hiyo je mtu akisema yes utampa hizo hela au tumieni akili elimisheni jamii
Willhard Wilder Johnnie siku moja moja na nyie EATV mnakuaga manyoya maana maswali mengine sijui ulieandika ulikua kwenye shimo
Michael Siweya Laa !! Aisee sitoki Tanzania..Nchi yangu ina utofauti mkubwa sana na nchi zingine....Angalia jiografia ya nchi yetu inavyovutia..samaki kibao wa maji baridi...dagaa kibao...daa wacha tu...Halafu watz kwa asilimia kubwa ni wapole...unaendaje kuishi na watu ambao kwako itakuwa ni shida tupu....Mbaya zaidi unaambiwa usiruudi TZ....wajameeeni ee hili ni jipu lililoiva
Abel Mselle Kwani tz kuna kitu ghani? Na mosambeqe wamekosa nini? Acheni ulimbukeni ninyi,,.kambi popote ktk dunia hii ya mungu cha msingi ni hizo dolare.
Ramadhan Twaha Naenda yan me nauli tuu na nymba na hata alkaeda au somalia naenda jibu yes
Samiah Loved YES, fanyen mchakato bas maana m tayar npo stand kwaajil ya kwenda nan kakwambia msumbij wanaish manyema2,s binadamu kama mm,achen hzo bhana s wengne 2naangaika 2pate pesa nyie mtatishia pesa,[HASHTAG]#Nyiewenyewehapo[/HASHTAG] HAMNAZO!
Nebby Nyale Leteni kwanza alafu mtaona nitachofanyia......
[HASHTAG]#matokeo[/HASHTAG] yake wenyewe mtayapenda.
Salumu Namideda Khatau No siendi kwanza msumbanga kwa thaman ya fedha wametuzidi iyo milioni zenu hzo ukibadili na fedha za msumbiji unapata ela 5 au 3 yaan kidogo
Godliving G Santo's hizo hela za kwenye mabegi hapo chini ndozile alishikwa nazo jamaa flani hivi kule dodoma kipindi cha kampeni kumbe mnabaki na photo inawauma eeehh
Aziza Shekimweli Hahahaaaa watu bhn sa nyie mnajua hyo milion 500 ukichange kwa pesa ya huko msumbij unapata sh ngap
Paskal Chelsea Yanga Halisi Kama una miaka kumi hujafika kwenu na huna hata mia...itakua milion 500 kuishi msumbiji..
Outlook Siharubea Mbona mimi nipo hapa maputo na nilikuja sina pesa lakini nimezipata hapa hapa msumbiji zaidi ya hizo hapo
Chriss Cypher Haya ni maisha ya story katika sura za watu mimi ningeenda kama pesa zipo mikonon mwangu na ni halali na sio fake maana hamchelewi kunichomesha na mizgo yenu badala ya kwenda msumbiji naenda jela.
Omaru Mahimbwa Tanzania YANGU nimuachie nani?nganga hapa hapa bongo,mi ni mzarendo wa wazarendo
Tawari Hezekiah Waritu Mike kubwa maisha haijalishi kuwa ukiishi Angola ama Msumbiji ndo utakua umefaulu maisha kwa %100 hapa tz yawezekana maisha Ni magumu lkn uraisi wa kupata chakula kipo. Kwa we ushakua mtumwa kwenye Nchi za wenzako
Kaa na Angola yako nac tuwe na Tanzania yetu.
Sele Jah Nyi nyi vibwengo msilete utani na pesa hata sasaivi naondoka bongo haina fomura ya maisha kbs nchi ikikosa tume ya bei ujuwe imepalaganyika ndio mana maisha ya wabongo yko km wanyama sisi tuliotembea duniani ndio tunaona nipe mkwanjwa huo uwone vumbileke bongo nirudi nimesahau nn
Poz Wa Chaka I love Tanzania.... Naishi uswahilin.....bongo kama new york .....nainjoy japo sina kitu.....Tanzania....... Zanzibar...... Karibuni sana wageni......tupige mkwanja.....hip hop
Mary Mrosso Zileteni kwanza alafu ndio nitawaambia kama msumbiji pabaya au pazuri kiroho Safi
Juhudy Mchelsea Mtafya Nipe pesa izo acha magumashi, kama zipo hazpo stajib ndio au hapana.
Barnaba Vumu life la msumbiji ni la kibabe ndugu zangu askari wa kule hawachezi na kima hata sikumoja badilisha nchi yakwenda sio msumbiji waki kuhisi ni muharifu wana sema tanzaniano bandidu hapo ukidakwa kitakacho kukuta usinisimulie!
Noel Chambo yes haya wapeni bac wote walio andika yes mana nyinyi kazi yenu ndio hiyo kupost vi2 cc 2poteze muda kuko bila majibu ku2juza yanayoendea juu ya majibu yetu,
Alice John Mapinduzi Hiyo hela unapewa umeifanyia kazi gani? Ningejaribu kukuelewa kama ungesema ukipata kazi ya kukulipa million 500 kwa mwaka ukifanikiwa kwenda kuish Msumbiji ungefikiria kurudi?
Hytham Malango Siwez nikaumiza kichwa kujibu kitu ambacho hakiwez tokea maishan mwangu.
Edda Kayuni Duh! Wa2 Wanajipangia Mambo Kemkem Wanasema Sasa Hii Ni Bahati Nasibu Jibu Ni Hapana! Hii Ni Danganya Toto Jinga, Ha ha ha komaen hapahapa kwenu bongo mtatoka pia mabadiriko ni ww ukij2ma hata ulaya unaish
Seleman Daniel Msumbiji kitu gani kwa hizo pesa nipo tayari kwenda hata Bulundi, be rich or dye be trying
Galdin Gennes HNane Mtumwa wa kifkra peke yake ndiye anayeweza kuona maisha ni mazuri zaidi ugenini. Mnataka kutuambia nyie mmefanikiwa kuliko wote waliofanikiwa haa Tz? Wanaofanikiwa haa wao wamewezaje
Qsa Fred Yes, Mungejua mozambique kuna maisha mazur zaidi ya Tz, kwanza mwenye hela huku anaogopwa na kuheshimiwa sana.
Juma da Omary ukweli hata mngenipa milion 1000 siendi mimi ni MTANZANIA naipenda nchi yangu hata kama kunashida siwezi kukimbia nyumbani mm ni mzalendo halic
Glady Xavy Yan hata unipe bilion ngapi sihami naenda kuwekeza huko narudi zngu.maana nchi za majirani zetu hazichelewi kukinukisha.saa yoyoye mikono inatembea,shaba,mitutu n.k
Rahimu Mhando Seif kama hapa bongo unaishi humiliki mshiko kama huo, unakubali tu maisha ni popote, huko utaenda kuishi maisha mengine tofauti uliyokuwa nayo hapa bongo.
Samweli Shoo Kwanza nawazaga kuhama hii nchi so hata bila hela nahama nimechoka nchi isiyo na mbele wala nyuma,,,