Ndugu zangu yamenikuta, nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,557
2,000
Ni matumaini yangu muwa wazima wa afya.moja kwa moja naingia kwenye mada.Ilikuwa juzi tuilitoka kumwona dr.kwa mambo ya kupima uzazi ikaja kubainika nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane .naombeni msaada wenu kama kuna dawa litakalotibu hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Dawa ya kurudisha hizo Low Sperm zako kwa hapo nchini Tanzania utahangaika sana sio rahisi kuzipata Dawa ipo nje ya kurudisha Hizo Low Sperm unatumia kwa muda wa miezi 3 na ukimaliza kutumia huo muda wa miezi 3 hizo Sperm zako zitazidi zaidi ya Milioni 8. Ukihitaji hiyo dawa nitafute kwa wakati wako.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
 

zefa

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
364
250
Huyo dr. Muhuni na msengerema kama wangese wengine...

piga chini majibu yake ibuka kwa dr mwingine kwa uchunguzi zaidi...

vipo vitu zaidi ya vitatu vya kujadili na dr kuhusu sperms zako.

kuwa na sperm count 8mil ila zenye mortility rate ya kufa mtu ni zaidi ya kuwa na sperm 30mil zenye mortility rate o na blunt heads.

kwann majibu ayatoe kwa mke na kumwambia asikuambie?

Nisaidie mwonekano wa mkeo na umri wa dr muliyemuona...nahisi dr kamtamani mkeo anataka akuchapie
huyu dr ni kanjanja na mchumia tumbo asiyefuata ethics za kazi yake.HAFAI NA HAIFAI JAMII

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
umr wa dr.tuliyemwona hazidi 4oyrs old my wife yuko powa na she is young 31 yrs.mbaya zaidi niliwahi kumpiga mimba kabla hatujafunga ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

zefa

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
364
250
Tumia dawa kutokana na ushauri wa daktari. Ushauri wangu na utakaokusaidia wakudumu ni kuzingatia chakula Bora. Chakula bora na maji ndio tiba pekee ya gharama nafuu ndani ya miili yetu. Pia punguza mawazo, epuka vilevi km pombe kwani najua kipindi hiki kigumu ulichonacho utakua mtumiaji mzuri ili kupunguza mawazo. Kumbuka madawa yote yakitumika isivyo ni madawa ya kulevya
nashukuru ndu to be honest cjawahi kunywa pombe wala kuvuta cgara.tatizo hayo majibu hakuniambia mimi kamwita wife chemba kamwambia tena kwa msisitizo acniambie.hapo ndo kuna utata mkubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

zefa

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
364
250
Mkuu Dawa ya kurudisha hizo Low Sperm zako kwa ahapo nchini Tanzania utahangaika sana sio rahisi kuzipata Dawa ipo nje ya kurudisha Hizo Low Sperm unatumia kwa muda wa miezi 3 na ukimaliza kutumia huo muda wa miezi 3 Sperm zako zitakuwa zaidi ya Milioni 8.Ukihitaji hiyo dawa nitafute kwa wakati wako.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
dr.mzizi mkavu nimekusoma ila mimi ni mtanzania wa hali ya chini i can't afford hizo ziko sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

zefa

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
364
250
Mkuu Dawa ya kurudisha hizo Low Sperm zako kwa ahapo nchini Tanzania utahangaika sana sio rahisi kuzipata Dawa ipo nje ya kurudisha Hizo Low Sperm unatumia kwa muda wa miezi 3 na ukimaliza kutumia huo muda wa miezi 3 Sperm zako zitakuwa zaidi ya Milioni 8.Ukihitaji hiyo dawa nitafute kwa wakati wako.Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.
dah kiasi cha hela ulilotaja hapo inaemdana na idadi tatizo lenyewe mzizi mkavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mentor

JF-Expert Member
Oct 14, 2008
20,342
2,000
Mbona, tunafundishwa mbegumoja tuu inaenda kufanya mtoo na zikienda mbili basi mapacha.
Sasa wewe milioni nanembona nyingi sana ndugu, hiyo si zaidi hata ya idadi ya mayai alonayo mkeo ??
Hebu fikiria mbegu mojainafanya mtoto sasa milioni nane ,,, watoto wangapi hapo. Si watu wote wa Mbeya hao. Au wa Mwanza.

Nina shaka na hii habati,
Kwanza hizo mbegu kazipataje akajuwa ziiko mil 8, kuna kidude cha kuhesabu?
Na jee mili 8 chache inamaana zinatakiwa ngapi ili zitoshe
Standard zinakuwa ngapi ??
Nifafanulie
Hahah kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza..

Halafu umenifurahisha zaidi baada ya kukosoa huko juu chini umemalizia kusema 'nifafanulie..'

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kaisari

JF-Expert Member
Nov 13, 2012
3,645
2,000
Hahah kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza..

Halafu umenifurahisha zaidi baada ya kukosoa huko juu chini umemalizia kusema 'nifafanulie..'

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo ndugu, kama watu waliopo dsm wapo milioni tano. Inamaana huyu jamaa kwenye vipumbu vyake ana idadi nzima na nusu ya watu wa dar, halafu anatuambia hawatoshi ........ Sperm moja mtoto mmoja. How come milioni nane iwe haitoshi. Sikubali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom