Ndugu zangu yamenikuta, nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane

MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
15,030
2,000
Mkuu dawa ni kuhama Dar!

jaman saa zingine uwe serious !huyu angekuwa anaandika utani angeipeleka kwenye chichat !hv jaribu kumfikiria huyu mwenzako anahangaika kias gan! hivi umewah kutana na mwanamke /mwanaume anaehangaika na uzaz wewe lakini ? yaan hata km u mgumu vipi azima ulie nae! ameamua kuweka hapa wazi asaidike na ww unakuja kuleta utan km huu! yaan ndo niandike uzi km huu atokee mtu anijibu namna hii nitafungiwa mwaka kwakwel !wala sitakuvumilia !
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
32,030

Tatizo hujanielewa!......Kwa kifupi sana ni kwamba kiepe yai wanachokula wanaume wa Dar hakijawahi kuziacha sperm count salama!!
 
MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
15,030
2,000
Tatizo hujanielewa!......Kwa kifupi sana ni kwamba kiepe yai wanachokula wanaume wa Dar hakijawahi kuziacha sperm count salama!!

unahakika gan huyu yuko dar !? hebu jaman tujaribu kuheshimu hisia za watu wengine ! kebehi kokote lakini sio suala la ugonjwa mkuu !ni hayo tu !
 
Wewe hutaki kunielewa tu kisa eti unanichukia kwa sababu nina sura mbaya,huo ni ubaguzi!!......Kwa taarifa yako wanaume kuwa na less sperm count pamoja na upungufu wa nguvu za kiume inasababishwa na maisha ya kisasa kama vile kula chips,kunywa pombe kwa wingi,kula sembe,nyama choma kwa bia,matumizi mengi ya sukari,usongo wa mawazo,kutokufanya mazoezi,kukosa usingizi,magonjwa ya tabia kama vile pressure na kisukari e.t.c mambo yote hayo niliyoyataja hapo juu kijijini hayana nafasi zaidi ya asilimia tisini!!
 
najua sana sababu za hayo mambo lakini ulivyocoment kimzaha namna ile aiseee !yaan i wish ungejibu hv tupo eneo watu wengi!yaan nikuone !siku nyingine usikoment kitu pls !mwache apambane na hali yake ! ninaweza hisi anapitia magumu gan lakini nahakika bado sitoshei !napenda kuishi na watu km nyie !nasemaga ningekuwa mwanaume mm kila siku ningekuwa napiga mtu dizain yako ! shukuru hatujuani ! na shukuru Mungu sina nguvu !ila ulivynikwaza ungekuwa hapa mbele yangu ningevuta mashavu aisee !ngj nitoke online !ushaniharibia moody
 
Tokea upate mchumba JF naona umezidi kuwa very serious!!
 
zefa

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
364
250
jaman saa zingine uwe serious !huyu angekuwa anaandika utani angeipeleka kwenye chichat !hv jaribu kumfikiria huyu mwenzako anahangaika kias gan! hivi umewah kutana na mwanamke /mwanaume anaehangaika na uzaz wewe lakini ? yaan hata km u mgumu vipi azima ulie nae! ameamua kuweka hapa wazi asaidike na ww unakuja kuleta utan km huu! yaan ndo niandike uzi km huu atokee mtu anijibu namna hii nitafungiwa mwaka kwakwel !wala sitakuvumilia !
dah ndugu ni wachache wenye roho kama kwako ya kumwonea huruma anayekuwa kwenye matatizo lkn yote kwa yote ni changamoto lzm asilimia wanakunja moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugiligili

JF-Expert Member
Jun 20, 2014
3,031
2,000
Mkuu nenda kwa Specialist wa mambo ya uzazi..upimwe tena ili u confirm kabisa alaf akupe na ushauri nini cha kufanya..humu kuna matapeli wengi nakushauri uwe mwangalifu

Ugiligili
 
MBITIYAZA

JF-Expert Member
Jan 22, 2017
15,030
2,000
dah ndugu ni wachache wenye roho kama kwako ya kumwonea huruma anayekuwa kwenye matatizo lkn yote kwa yote ni changamoto lzm asilimia wanakunja moyo

Sent using Jamii Forums mobile app

pole na usivunjike moyo na mabazaz ya aina hii !tafuta tiba na ule vizuri mbn utapona ! nimeishi na watu wanaohangaika kutafta watoto ilifikia kipindi nasema Ee Mungu uzaz wangu huu wa simbilisi hamishia kwa huyu dada !huwa naumia mnooo nikiskia mwenzangu anatafuta mtoto !UTAPONA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom