Ndugu zangu yamenikuta, nina tatizo kubwa la low sperm kiasi cha milioni nane

Karanga mbichi mkuu, maharage mengi, samaki wabichi tafuna na carroti sana.

Alafu pia kuna mzizi mmoja wa kimaasai unaitwa "Ngororiii" unautafuna utakusaidia sana kwenye show zako yaani hadi wife ataniletea zawadi kwa kukujulisha kuhusu hii kitu.
ahsante ndugu ushauri wako nitaufanyia kz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karanga mbichi mkuu, maharage mengi, samaki wabichi tafuna na carroti sana.

Alafu pia kuna mzizi mmoja wa kimaasai unaitwa "Ngororiii" unautafuna utakusaidia sana kwenye show zako yaani hadi wife ataniletea zawadi kwa kukujulisha kuhusu hii kitu.
Samaki wabichi?
 
Pole mkuu hilo tatizo kitaalam laitwa Oligospermia
Husababishwa na

Joto ........joto hupunguza uzalishaji wa sperm ....ndio maana mapumbu yawanyama( binadamu). yapo nje yananing'inia

Unene ....watu wanene kutokana na kua na mafuta mengi Mara nyingi Husababisha korodan kuzungukwa ma layer ya mafuta ..sasa mafuta huzuia joto lispotee kwaiyo joto Lina harib uzalishaji wasperm.

Kazi zakukaa muda mrefu ..mfan...madereva na maboda boda ...unazalisha joto sanaaa .

Kufanya ngono Mara kwamara .

Uvutaji wa sigara ,,,sigara inaharibu uzalishaji wa sperm na motility yake

,unywaji pombe ,,,pombe hupunguza shahawa nahata hupunguza uzalishaji wa homon ya testesteron .

Mawazo hupunguza uzalishaji wa sperm.

Madawa km erthromycin na gentamycin n.k pia hupunguza sperm count .

MATIBABU .

KM LOW SPERM KWASABUBYA INTERNAL FACTOR KWAMFANO VARICOCELE INABIDI UFANYIWE SURGERY

KM NISABABU YA INFECTIONS NDAN YA URINARY AU REPRODUCTIV TRACT BASI ANTIBIOTICS ZITAHUSIKA.

KM NISABABU YA HOMONE IMBALANCE BASI PIA LAZIMA UTUMIWE MADAWA KWAAJILI YAKUBALANC HORMONE ZAKO.


mwishon wahabar .....

Sema nakushauri embu badili life style yako kwanza ( epuka izo sababu nlotaja hao juu) ALAFU FANYA MAZOEZI HUKU UKIWA UNAKULA WELL BALANCED DIET.

pole sana mkuu.
Ahsante sana kwa ushauri na maelezo ulionipa ndugu nitaufania kazi.barikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom