Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Hizi story za haya makabila since nagrown up nilikua nazickia en nilichukulia kawaida but as the day goes on nimejikuta nimedevelop hateress.. yani mtu akiniambia yy ni mchaga au mhaya inanijia image ya kuzimu...yani cna hisia za kichaga kabisa
 
Nani atao wakina Manka.....mwanamke kashupaa kama mbeba zege...mwanamke hayuko romantic....
Mambo yote TANGA...
Mtoto sauti anaitolea puani...ukiushika mkono kama umeshika povu la sabuni...kwa jinsi ulivyo laini....mtoto ananukia kama jini....mahaba...mengine simalizii....
Waalah I will die in TANGA....

Kina Manka ndo habari ya mjini we baki na wabana pua mambo yote pesa kwanza kah
 
Hizi story za haya makabila since nagrown up nilikua nazickia en nilichukulia kawaida but as the day goes on nimejikuta nimedevelop hateress.. yani mtu akiniambia yy ni mchaga au mhaya inanijia image ya kuzimu...yani cna hisia za kichaga kabisa

RIP, boy.
 
Acheni kulalamika somesheni dada zenu! Mnasomesha vijana tu halafu unataka arudi aoe msichana sio wa hadhi yake kisa kabila? Piigeni kampeni kwenu watoto wa kike wasome, nimefundisha university miaka mingi ni wasichana wachache sana wa baadhi ya makabila kuwakuta ngazi ya chuo kikuu. So vijana wenu wanaoa wanawake wanaokutana nao chuoni au mahala pa kazi! Ulitegemea akaoe msichana anayechunga mbuzi au kulima kwanza atamuonea wapi? Anaoa wale anaokutana nao kila siku. Somesheni wasichana ili jamii zenu ziendelee mama ni uti wa mgongo kwenye jamii yoyote ile duniani bila uwezo wa elimu kwa mama tegemea umaskini wa kila kitu kwenye jamii husika
 
Naona mambo matatu tu kwenye hii thread..

1. Unajaribu kupata attetion ya watu kwa wanawake wa makabila haya either kujua wasifu wao ndani na nje ili ufanye uchambuzi yakinifu. Ukidhamiria kuoa huko.

2. Naona ikiwa si namba moja basi umekusudia kuwadharirisha, kwa maneno kama wauaji, wasomi fake, wenye matamanio ya ukwasi nk.

3. Umeaficha kabila lako, sijui ni uoga au kutojiamini?
 
Preeeeetaaaà preeeeetaaaaaa. Keeenjooooouuuuuyeeeeeeeeeee
 
1st aid kwaumri alionao awezioa mchaga kama ajaoa

Wachaga awaolewi nawazeehatasikumoya
 
Officially na declare interest kama mchaga....sioni sababu ya mtu kuwachukia wachaga bali ni busara watu wa makabila mengine kujifunza mambo positive toka kwa wachaga na pia kujua historia fupi ya wachaga.
Dont hate the player...hate the game....naweza kukiri wazi kuwa mpaka sasa na umasikini tulionao umetokana na nchi kutokuongozwa na mchaga na hasa hiyo ilipandikizwa na nyerere but ndio tumefika hapa.
Wachaga tuna kiu na hasira ya maendeleo...tunaweka target za mafanikio kuanzia level ya familia mpaka level ya ukoo...na pia tunasaidiana.

Ukiondoa wahindi kwa kusaidiana misikitini na kwenye jamattin zao tunafuatia wachagga kisha jews na mwisho ni watutsi......

Karibuni uchagani mujifunze mambo makubwa yatayowabadilisheni jinsi ya kufikiri na kuweza kuyashinda maisha.....hongera kwao walioweza kuyagundua mazuri ya wachaga na wakaamua kuja kuolewa na kuowa uchagani.

Dhana potovu kama vifo katika ndoa za wachaga zinaweza kujibiwa kwa tafiti za kisomi....tuanze
1- mzee warioba kaoa uchagani mbona hajafe?
2- nyerere na mama maria kwahiyo mama ni mchaga?
3-mama gracca machel naye ni mchaga ndio maana kamuua babu madiba?
4-
5-
6-
ongezeeni list ya hao mnaowajua kisha tukaulize vyanzo vyao vya kifo na tupate postmortem report ndio tuone kama ilikuwa sumu au magonjwa mengine ambayo hata babu yako huko kwenu kijijini yanaweza kumuuwa.

Hitimisho:- twaweza ni sisi..ni taasisi ya chunguzi mbalimbali zenye manufaa kwa jamii...sasa tutawaomba wafanye chunguzi juu ya haya na majibu yatolewe kabla ya ndoa hizo 9 za jamaa wa karibu wa mleta mada.

Ni hayo tuuu....
 
Ninaposaka mchumba nikifa mungu ataniumba tena

Humu kuna wachagga wengi na wahaya ndio wamejaa humu kwa hiyo tegemea mleta mada kupingwa kwa kasi ila kiukweli wachagga wameniulia ndugu zangu
ila sijali
 
Wachaga na wahaya sio kwamba wana akili darasani, lakini kwa sababu elimu ilianzia kwao kwa sababu za ukoloni kwa hiyo wamepata kujua na kuthamini elimu mapema. Hawana akili za zozote zaidi ya kuforce madarasa hata kama hana uwezo, watarudia kusoma shule ya msingi. sekondari, vyuo mpaka siku watakapovuka darasa, the last thing watafanya ni kuiba vyeti. Nakuambia watafanya chochote ili mradi waonekane wasomi hata kama uwezo ni kama wa kuku. Tofauti kabisa na sisi ambao hatuna hiyo hali ya kulazimisha, we are just intelligent naturally!

nimependa ulivyohitimisha hapo chini.
 
Acha ukabila mkuu! me pia nmeoa mchaga mzuri,mtamu na hardworking kwa kweli mambo yako fresh na wazazi wangu pia wanafurahia kuwa na mkamwana huyo wananipa big-up kwa kuoa kwa MBESA
 
Wachaga na wahaya sio kwamba wana akili darasani, lakini kwa sababu elimu ilianzia kwao kwa sababu za ukoloni kwa hiyo wamepata kujua na kuthamini elimu mapema. Hawana akili za zozote zaidi ya kuforce madarasa hata kama hana uwezo, watarudia kusoma shule ya msingi. sekondari, vyuo mpaka siku watakapovuka darasa, the last thing watafanya ni kuiba vyeti. Nakuambia watafanya chochote ili mradi waonekane wasomi hata kama uwezo ni kama wa kuku. Tofauti kabisa na sisi ambao hatuna hiyo hali ya kulazimisha, we are just intelligent naturally!
no data no right to speak!
 
Nami nawaambia dada zangu.... wapigeni tu. Kwani nini bhana.... na wafe tu.... in good faith....

Haaa wanawatafuta in good faith...kisha hawataki kukubal matokeo in good faith
 
Back
Top Bottom