Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

wachagga wana akili za maisha so ukioa mchagga huwez pata shida kwenye ushauri wa maisha,pia wachagga wana akil za darasan kama mtu anabisha angalia historia ya TO'S Wanafunzi kumi bora miaka yote kuanzia darasa la7 form4…&6 kama hujakuta wachagga sio chini ya wa4...na mara nyingi ndio wanakuaga wakwanza so ni watu wenye akil na upeo mkubwa pia ni wazur sana kuna kipnd nilienda moshi December nilipagawa... so acheni watu wakaoe Kilimanjaro tu afu ilo la kufa sizan kama makabila mengine hawafi cozz makubur yapo kila mahal sio moshi tu... ila sasa nakuja negative... wachagga ni wakorofi... dharau.... wababe... wapo busy na maisha wanasahau mapenzi... pia ni watu wabishi sana.. ila sio wote baadhi tu ndio wapo ivo
 
kuoa na kuolewa ni chaguo la wahusika,kifo ni mipango ya mungu wala haibase kabila flani,acheni dhana za kizanani kuangalia makabila hapa kinachomatter upendo wa dhati tu as long as wameona wanaendana,wabarikiwe,mimaneno ynu ya chuki ndo inasababisha hata mikosi ktk familia nyingine
 
Nchi yenyewe tangu wakoloni waondoke imerudi nyuma kimaendeleo. Makabila yote yana wasomi siku hizi, unadhani nitakuonea huruma kwa kusema wahaya au wachaga ndio wamesoma peke yao! Thubutu. Wahaya na wachaga katika medani za usomi na expertism ujanja ujanja mwingi sana. Wanaidhulumu na kuirudisha nchi nyuma.
Ila idadi haiwezi kuwa sawa,hivi ngoja niulize mtu ili aitwe msomi anaanzia ngazi gani ya elimu
 
Sredi nyingine kuhusu wachagga..life goes on
 
Naafiki. PESA imebadili mwelekeo wa mambo mengi sana ukizingatia mavyuoni na kwenye sekta nyeti wamejaa hawa watu. Kijana wa kisasa mwenye ueledi wa maendeleo lazima atafute msaidizi mwenye fikra pana ktk kufikia malengo. Wala usigairi mkuu na bado utazipokea sana kadi zenye majina ya haya watu
 
Ila makabila mengi ambao sio wahaya au wachaga wanajisikia fahari kuoa au kuolewa na hayo makabila maana mim b'mdogo wangu( mhaya) kaoa kabila jingine lakin hyo mke jinsi anavyoproud ni balaa cha kushangaza ni msomi lakin anajiona yupo juu sana kisa kaolewa na mhaya
 
wachagga wana akili za maisha so ukioa mchagga huwez pata shida kwenye ushauri wa maisha,pia wachagga wana akil za darasan kama mtu anabisha angalia historia ya TO'S Wanafunzi kumi bora miaka yote kuanzia darasa la7 form4…&6 kama hujakuta wachagga sio chini ya wa4...na mara nyingi ndio wanakuaga wakwanza so ni watu wenye akil na upeo mkubwa pia ni wazur sana kuna kipnd nilienda moshi December nilipagawa... so acheni watu wakaoe Kilimanjaro tu afu ilo la kufa sizan kama makabila mengine hawafi cozz makubur yapo kila mahal sio moshi tu... ila sasa nakuja negative... wachagga ni wakorofi... dharau.... wababe... wapo busy na maisha wanasahau mapenzi... pia ni watu wabishi sana.. ila sio wote baadhi tu ndio wapo ivo
mapunda ama vivo??
 
Ha ha ha Mkuu WATANGA hatuna bei nani ataoa magolikipa.

Nani atao wakina Manka.....mwanamke kashupaa kama mbeba zege...mwanamke hayuko romantic....
Mambo yote TANGA...
Mtoto sauti anaitolea puani...ukiushika mkono kama umeshika povu la sabuni...kwa jinsi ulivyo laini....mtoto ananukia kama jini....mahaba...mengine simalizii....
Waalah I will die in TANGA....
 
Afu una mkwara si umeshaaga kuwa umestaafu hautaleta thread tena....
 
Back
Top Bottom