Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Wewe kabila gani mkuuu

Umeuliza kama vile ni mwathirika wa hili janga, na huenda kadi yako ninayo! Ohsjyelaaaaaaaaa, hela zote nilizotaka kuwachangia naanzishia mradi wa kuku.
 
kuenda tu makaburini au?????kushiriki shughuli nzima???

wanawake wa kiislam hawaendagi
na hata wakristo wengi kama hujiwez uendi

Ni kwamba hawana habari na shughuli nzima ya mazishi, hata kuuguza wagonjwa waume zao wakati wanaumwa ni chenga tupu!
 
Umeuliza kama vile ni mwathirika wa hili janga, na huenda kadi yako ninayo! Ohsjyelaaaaaaaaa, hela zote nilizotaka kuwachangia naanzishia mradi wa kuku.

Kwa banda la kisasa nione tufanye buashara
 

Attachments

  • 1416167266422.jpg
    1416167266422.jpg
    76.2 KB · Views: 167
Wachaga na wahaya sio kwamba wana akili darasani, lakini kwa sababu elimu ilianzia kwao kwa sababu za ukoloni kwa hiyo wamepata kujua na kuthamini elimu mapema. Hawana akili za zozote zaidi ya kuforce madarasa hata kama hana uwezo, watarudia kusoma shule ya msingi. sekondari, vyuo mpaka siku watakapovuka darasa, the last thing watafanya ni kuiba vyeti. Nakuambia watafanya chochote ili mradi waonekane wasomi hata kama uwezo ni kama wa kuku. Tofauti kabisa na sisi ambao hatuna hiyo hali ya kulazimisha, we are just intelligent naturally!

Too cynical!
 
What is this! Hivi
wanawake wapo Kilimanjaro tu na Uhayani? Nina kadi za kuchangia harusi
hapa, kadi zipo tisa! Tuachane na habari ya michango - kwa sababu
kuchanga au kutokuchangia ni uamuzi wangu. Hivi inakuwaje kati ya hao
watu tisa, saba ni ndugu zangu kwa kabila, watano wanaoa wachaga, wawili
wanaoa wahaya! Na waliobaki ambao ni marafiki tu wanaoa wachaga! Miezi
iliyopita nimechangia harusi nne, watatu wameoa wachaga, mmoja mhaya.
Nilivumilia nikachanga kwa kudhani labda ilikuwa ni msimu wa wahaya na
wachaga lakini upepo utabadilika na hali itakuwa ya kawaida mbeleni!

Mbaya zaidi hawa jamaa ni wasomi, wana nafasi nzuri kimaisha, kwa nini
wasingeoa hata nyumbani wakati dada zetu ni warembo, (hawajiamini,
wanaogopa kuwaapproach?) ili walete japo chachu ya maendeleo makwao au
kwenye kabila letu? Ona sasa nguvu yote waliyowekeza wazazi wao inaenda
kutumika kula bata uchagani na uhayani!

Mijitu mingi ya kabila langu ishakuwa inaoa wachaga na wahaya tu,
nyumbani haiendi, kila mara ni uhayani na kilimanjaro, ukizingatia nauli
ni ndefu tena ya ndege wakati home kwao ni pale tu hata kwa bodaboda
wanaenda!

Huu ni wizi ambao siwezi kuuvumilia. Hivi kuna uchawi kwenye mapenzi?
Hivi hii inatokeaje wakati tukiwa wadogo, tumekuwa tukionywa vikali na
wazazi wetu usioe wala kuolewa na mchaga au mhaya, utatafuta kifo au
mateso ya hali ya juu sana kutokana na ushahidi wa mambo yao kadhaa
yaliyowahi kushuhudiwa? Hii mijitu haijifunzi, juzi kafa jamaa alikuwa
ameoa mchaga, mke wake hata kuzika tu hakwenda, jamaa alikuwa engineer,
tena jeshini. Mwaka jana kafa jamaa alikuwa mhasibu, wakati watu
tunafanya mishemishe za kumsafirisha marehemu kwenda kumzika, mke yeye
anahangaika na makaratasi kwa ajili ya umiliki wa nyumba na mali
zingine, wakati hapakuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa ananalilia hizo
mali. Au hizi harusi zinazohusisha wahachayaga na watu wa kabila langu
ni projects?

Hawa jamaa Mamazao, hawanioni tena kwenye kamati wala harusi zao
zinazoenda nshomile na mbesa.

Crazy me!

Nakala Kwa: lara 1 miss
chagga
Honey Faith
Kongosho nyumba kubwa
BADILI TABIA miss
neddy
Asprin - Babu na wengine wote
mlioguswa na hili janga, bila kumsahau Matola,
masai dada na
everlenk.

Naombeni mbinu ya kuwaokoa hawa jamaa.

wahaya sipend ila yamesoma sana dah
 
Last edited by a moderator:
wahaya sipend ila yamesoma sana dah

Wahaya waliosoma na kuelimika ni wachache sana. Wengi wao ndio wanaishiaishia na uzee. Uzuri siku hizi kila kabila lina wasomi, tena wengine wamepata elimu kutoka vyuo vikuu vya ukweli kama MIT, Havard etc., Sio Mwenge, Teku au Muccobas - hata jina sijui kama nimepatia.
 
Aise vipi hawa Wamachame? kibosho? warombo?

Nasikia wachagga inafaa waoane na.wahaya, eti ndo wanawezana.

Kuna mdogo wangu kaoa mhaya, ila juzi kanipigia cm ananiambia Kaka ningejua nisingemuoa, nikamuuliza kwani vp? hakuniambia, na mm simuulizi tena.

Lakini ni tabia ya mtu, kuna binamu yangu kaoa mkerewe, huyu shem ni polisi, lakini na yeye ananiambia binamu ningejua nisingeoa, nikamuuliza kwa nini? akasema...

Huyu shemeji yako kwanza ni mchoyo kwenye chakula hataki ndugu wa mwanaume aende kwake, pia, anahisi huyo mke wake kwao ni washirikina na atakuwa kaja nao, kutokana na vitendo anavyovifanya.

KUOA NI BAHATI.
 
There are some clues to take into consideration....... Sio vizuri ku ignore tu...
 
Duh...nouma,nilikuwa na m-machame flani hivi, nikienda ghetto kwake sinywi maji wala kula mi ni kugegeda tu nkimaliza natia stori 2,3 nasepa zangu...
But the one to be, baba makonde,mama mchagga!! She is fine.
 
aiseee vipi ukiolewa uchagani

Kuolewa unaweza kusurvive lakini, utaisoma plate namba kwa matusi na masimango kama umetoka kabila lingine, noma kama familia yenu ipo chini. Utafanyiwe ubabe wa ajabu, yaani mmeo anaweza kulala na wewe na kimada mwingine kitanda kimoja. Waulize taratibu wadada kadhaa walioolewa huko. Noma nyingine ni kuachwa halafu yeye kaenda zake sijui Mbeya, Mozambique, ukibahatika kumwona sana sana ni mwaka hadi mwaka kwa siku tatu. Wewe utaachwa unahudumia nguruwe, kuku au migomba chini ya uangalizi mkali wa baba au mama mkwe. Ukichepuka akasikia, ndio mwisho.
 
Back
Top Bottom