Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Attachments

  • 1416226065237.jpg
    1416226065237.jpg
    9.4 KB · Views: 396
pesa uchagani,utamu uhayani


samahani kwa ku quote

Umeona eheeee, Pesa Uchagani, Utamu uhayani!!! mmoja mla ndizi laini mwingine mla ndizi ngumu, lakini kiukweli watoto wa kihaya hakika wazuri kwa hiyo wanaonasa msiwalaumu wanatafuta kuzaa mamissworld.
 
Hizi story za haya makabila since nagrown up nilikua nazickia en nilichukulia kawaida but as the day goes on nimejikuta nimedevelop hateress.. yani mtu akiniambia yy ni mchaga au mhaya inanijia image ya kuzimu...yani cna hisia za kichaga kabisa

Hahahaa haaaa uwiii Yaani nimecheka
 
Mwenzenu uwa wananikosha pale kwenye six to six na ile mihemo ya yeyuu akyamungu kwakweli,yesu na maria yeyuu
 
What is this! Hivi wanawake wapo Kilimanjaro tu na Uhayani? Nina kadi za kuchangia harusi hapa, kadi zipo tisa.

Tuachane na habari ya michango - kwa sababu kuchanga au kutokuchangia ni uamuzi wangu. Hivi inakuwaje kati ya hao watu tisa, saba ni ndugu zangu kwa kabila, watano wanaoa wachaga, wawili wanaoa wahaya! Na waliobaki ambao ni marafiki tu wanaoa wachaga.

Miezi iliyopita nimechangia harusi nne, watatu wameoa wachaga, mmoja mhaya. Nilivumilia nikachanga kwa kudhani labda ilikuwa ni msimu wa wahaya na wachaga lakini upepo utabadilika na hali itakuwa ya kawaida mbeleni.

Mbaya zaidi hawa jamaa ni wasomi, wana nafasi nzuri kimaisha, kwa nini wasingeoa hata nyumbani wakati dada zetu ni warembo, (hawajiamini, wanaogopa kuwaapproach?) ili walete japo chachu ya maendeleo makwao au kwenye kabila letu? Ona sasa nguvu yote waliyowekeza wazazi wao inaenda kutumika kula bata uchagani na uhayani.

Mijitu mingi ya kabila langu ishakuwa inaoa wachaga na wahaya tu, nyumbani haiendi, kila mara ni uhayani na kilimanjaro, ukizingatia nauli ni ndefu tena ya ndege wakati home kwao ni pale tu hata kwa bodaboda wanaenda.

Huu ni wizi ambao siwezi kuuvumilia. Hivi kuna uchawi kwenye mapenzi? Hivi hii inatokeaje wakati tukiwa wadogo, tumekuwa tukionywa vikali na wazazi wetu usioe wala kuolewa na mchaga au mhaya, utatafuta kifo au mateso ya hali ya juu sana kutokana na ushahidi wa mambo yao kadhaa yaliyowahi kushuhudiwa? Hii mijitu haijifunzi, juzi kafa jamaa alikuwa ameoa mchaga, mke wake hata kuzika tu hakwenda, jamaa alikuwa engineer, tena jeshini.

Mwaka jana kafa jamaa alikuwa mhasibu, wakati watu tunafanya mishemishe za kumsafirisha marehemu kwenda kumzika, mke yeye anahangaika na makaratasi kwa ajili ya umiliki wa nyumba na mali zingine, wakati hapakuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa ananalilia hizo mali. Au hizi harusi zinazohusisha wahachayaga na watu wa kabila langu ni projects?

Hawa jamaa Mamazao, hawanioni tena kwenye kamati wala harusi zao zinazoenda nshomile na mbesa.

Crazy me.


Nakala Kwa: lara 1 miss chagga Honey Faith Kongosho nyumba kubwa BADILI TABIA miss neddy Asprin - Babu na wengine wote mlioguswa na hili janga, bila kumsahau Matola, masai dada na everlenk.

Naombeni mbinu ya kuwaokoa hawa jamaa.

Mbona waona raha kutaja na kuandika makabila ya wenzio mbona hujataja kabila lako. Unaishia tu kuandika kabila langu, kabila langu...Inawezekana wanawake wa kabila lako sio watamu ndio maana wanaume wa kabila lako wanaendelea kuoa uchagani na uhayani. Usiwaonee wivu bwana. Hakuna mtu anapenda kula chakula kibaya wakati kitamu kipo.
 
kuna hiyo family friend mama mpare baba msukuma walibarikiwa watoto watatu baada ya kujenga mjumba wa maaana na nyingene kwaajili ya wapangaji mama kaingiwa tamaa kamuua baba kwa sumu ya mamba ndugu wa mume hawakua mbali wakamuua mama, Pale home walikua wanaishi na na bibi yao mama wa mume bahat mbaya zaidi huyu mama kipindi anamuua mumewe aliwashirikisha watoto na ile sumu ikabaki home watoto wakatumia the same sumu kumuua bibi yao coz walikua bize hawawezi kumuhudumia matokeo yake sasa ndugu wa mume wakawatenga wale watoto wakubwa wawili wakakachukua kadogo ka mwisho kukatunza mtoto wakike yule mkubwa sa iz ni kahaba wa kiume ni teja.
 
Back
Top Bottom