Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

miss chagga atakua amelala
ukiona mtu yupo macho muda huu kuna mawili au matatu
1.single
2.Dent
3.kagombana na mpenzi

# 1 inanihusu mae.. alafu hapa natakiwa kuamka saa kumi kuwahi foleni lakini bado sijalala
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lenu mna itikadi za kiZamani za kurithi mke na mali za marehemu baada ya yeye kufatiki ila kwa bahati nzuri wachagga wengi ni waelewa ndo maana wakiwapiga pini mnawaita wauwaji...

Labda nikuulize swali kinachowapeleka kwa hao wajane ni nini kama sio kuvizia mali?? We mtu mme wake kafa ila bado mnataka kuwa dependent tu hebu acheni roho za umaskini

Siongelei utegemezi naongelea roho za kiuaji za wanawake wa kichaga, wanawaua waume zao ili warithi mali, kama mme akifa kawaida ukarithi mali hakuna mtu atakuwa na shida na wewe.
 
Siongelei utegemezi naongelea roho za kiuaji za wanawake wa kichaga, wanawaua waume zao ili warithi mali, kama mme akifa kawaida ukarithi mali hakuna mtu atakuwa na shida na wewe.

point zako hazina mashiko.. kumbe unacholilia ni mali mkuu???
 
Hizo stori wachaga wanaua watu, ni stori za kufikirika sawa tulivyokua tunambiwa kijijini DARESLAAM ni jiji lenye mataa kila kona,kuja kuona mmmnh where and whrte?!(wapi na wapi?)
 
Hizo stori wachaga wanaua watu, ni stori za kufikirika sawa tulivyokua tunambiwa kijijini DARESLAAM ni jiji lenye mataa kila kona,kuja kuona mmmnh where and whrte?!(wapi na wapi?)

Hayo mauaji ya wachaga yanaendelea mapka kesho.
 
hongera ila tafiti zinaonyesha bado unapiga one night stand games.. uchagani tunataka watu positive kuhusu maisha ambao ni very smart upstairs. we hutufai, baki huko huko kwenu

Uchagani mpo smart? Are you serious?
 
Nimesema nimemaliza. Mwenye kuweza kusoma na kuelewa na aelewe. Ambaye akili yake haisomi, asije kujilaumu mbeleni.

Kaoeni uchagani, lakini yatakayowakuta tusijuane. Uchagani mtu smart ninayemtambua ni Mbowe na John Mnyika tu, Labda na MENGI, wengine, hasa wanawake sijui kama mnaexist. Sijui ati Matege, ndio mnyama gani! Wengine nawafahamu kwa wizi na utapeli na uuaji.

Ngoja nilale, sipati picha watu watakavyotoa mapovu kesho.

CC nyumba kubwa.
 
Wachaga na wahaya sio kwamba wana akili darasani, lakini kwa sababu elimu ilianzia kwao kwa sababu za ukoloni kwa hiyo wamepata kujua na kuthamini elimu mapema. Hawana akili za zozote zaidi ya kuforce madarasa hata kama hana uwezo, watarudia kusoma shule ya msingi. sekondari, vyuo mpaka siku watakapovuka darasa, the last thing watafanya ni kuiba vyeti. Nakuambia watafanya chochote ili mradi waonekane wasomi hata kama uwezo ni kama wa kuku. Tofauti kabisa na sisi ambao hatuna hiyo hali ya kulazimisha, we are just intelligent naturally!

kwani ni miaka mingapi toka hao wakoloni waondoke??
 
kwani ni miaka mingapi toka hao wakoloni waondoke??

Nchi yenyewe tangu wakoloni waondoke imerudi nyuma kimaendeleo. Makabila yote yana wasomi siku hizi, unadhani nitakuonea huruma kwa kusema wahaya au wachaga ndio wamesoma peke yao! Thubutu. Wahaya na wachaga katika medani za usomi na expertism ujanja ujanja mwingi sana. Wanaidhulumu na kuirudisha nchi nyuma.
 
Mti wenye matunda hupigwa mawe, kwanza wewe Ni mbinafsi 100%, pamoja Na ndugu zenu waliokuwa wanawapotosha eti wasioe wala kuolewa uchagana...na hapa ndo utakapo realize kuwa u cant stop the nature.

The only way to help u, just go n marry the person of ur ethnicity, then hizo bata mkazilie kijijini kwenu maana nao Hilo ndo tatizo kwako.
 
Back
Top Bottom