Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Ukitaka binti wa kisasa anayependa maendeleo pa mchagga.Mimi ninaye.Tafakari.If you are a lazy and useless guy try somewhere else.

karibu sana uchagani shemeji.. jisikie uko nyumbani. achana na mtoa mada kavurugwa. miss chagga muite mshana jr na Pdidy waje amkaribishe mgeni
 
Last edited by a moderator:
hivi una amini wameuliwa au wa,ekufa kama binadamu wengine...i mean natural death
hivi unadhani wangeishi milele

kwani wanaume/watu wengine awafi
una uhakika wameuawa

katika jamaa wote hao atleast nipe ushahidi mmoja
plz

nashukuru sana jirani kwa ushirikiano.. uko poa now lakini mah???
 
Aise vipi hawa Wamachame? kibosho? warombo?

Nasikia wachagga inafaa waoane na.wahaya, eti ndo wanawezana.

Kuna mdogo wangu kaoa mhaya, ila juzi kanipigia cm ananiambia Kaka ningejua nisingemuoa, nikamuuliza kwani vp? hakuniambia, na mm simuulizi tena.

Lakini ni tabia ya mtu, kuna binamu yangu kaoa mkerewe, huyu shem ni polisi, lakini na yeye ananiambia binamu ningejua nisingeoa, nikamuuliza kwa nini? akasema...

Huyu shemeji yako kwanza ni mchoyo kwenye chakula hataki ndugu wa mwanaume aende kwake, pia, anahisi huyo mke wake kwao ni washirikina na atakuwa kaja nao, kutokana na vitendo anavyovifanya.

KUOA NI BAHATI.

Ukioa mchaga, kitu cha kwanza kabisa ni kufanya party ya kuagana na ndugu zako, maana hutaweza kuwa karibu nao tena, hutakuwa unaenda kwenu, kama kuna ulikuwa unawasaidia yaweza kuwa ndio mwisho wao, cha muhimu zaidi kifo kinakuhusu muda wowote na kama kuna ndugu zako walikuwa wakijipendekeza wakati wa uhai wako watafukuzwa kama mwewe.
 
Wachaga ni wazuri,wanajiheshimu wapiganaji..wahaya wana akili sana darasani na wanapenda kuhimiza kusoma.wanapenda maendeleo...wanaweza kuish maisha ya hali zote ..woga wako ndo umaskini wako.lakin unaweza oa nyumbani.japo kama ujuavyo huwez mshaur mtu kwenye.suala la mapnz...kaka angu anaoa december mchaga na hakuelew somo.anakuambia huyu dada mchaga/wifi angu kamsaidia sana hadi hapo tunamuona sisi kafanikiwa..so tumemuacha afanye yake.

mtuachage tupumue kidogo basi.. wife material tuko Kilimanjaro tumejaa. kama una kaka ako mwingine hajaoa mwambie tunamkaribisha uchagani
 
Wanawake wa kichaga is another hell on earth! Nitakuja kukununulia vitu dukani tu, sana sana nguo zaidi ya hapo sahau.

hujapenda bado ndo maana unatoa povu.. na watu wenye kipato cha chini ndo wanaoshaukwaga kutomboka kuwa hawahongi sababu watahonga nini??? endelea kuzichanga, siku itakuja na.wewe utafanya hilo.. kuhonga sio magari na manyumba tu, hata vocha umehonga pia plus your time ambayo ume dedicate kwake
 
Kuolewa unaweza kusurvive lakini, utaisoma plate namba kwa matusi na masimango kama umetoka kabila lingine, noma kama familia yenu ipo chini. Utafanyiwe ubabe wa ajabu, yaani mmeo anaweza kulala na wewe na kimada mwingine kitanda kimoja. Waulize taratibu wadada kadhaa walioolewa huko. Noma nyingine ni kuachwa halafu yeye kaenda zake sijui Mbeya, Mozambique, ukibahatika kumwona sana sana ni mwaka hadi mwaka kwa siku tatu. Wewe utaachwa unahudumia nguruwe, kuku au migomba chini ya uangalizi mkali wa baba au mama mkwe. Ukichepuka akasikia, ndio mwisho.

hili mimi sihawahi kuliona ila kama lipo basi ilikua ni miaka ya nyuma sana
amabpo makabila mengi hayakumthamini mwanamke
mbona wamasai
mwanmke anajenga nyumba
anaenda kuchunga
anapikia watoto
anakamua
BABA ANAGEGEDA TU

nadhani hayo ni madesturi na mila za zamani
 
mtuachage tupumue kidogo basi.. wife material tuko Kilimanjaro tumejaa. kama una kaka ako mwingine hajaoa mwambie tunamkaribisha uchagani

Wewe kwa hayo maneno yako, natamani ungekuwa karibu halafu unasema hivyo, vibao vingekuhusu na kesi ningeimaliza kwa kukupa mbesa.
 
hili mimi sihawahi kuliona ila kama lipo basi ilikua ni miaka ya nyuma sana
amabpo makabila mengi hayakumthamini mwanamke
mbona wamasai
mwanmke anajenga nyumba
anaenda kuchunga
anapikia watoto
anakamua
BABA ANAGEGEDA TU

nadhani hayo ni madesturi na mila za zamani

Hiyo ya wamasai ni utamaduni ya wachaga ipo kwenye DNA.
 
hujapenda bado ndo maana unatoa povu.. na watu wenye kipato cha chini ndo wanaoshaukwaga kutomboka kuwa hawahongi sababu watahonga nini??? endelea kuzichanga, siku itakuja na.wewe utafanya hilo.. kuhonga sio magari na manyumba tu, hata vocha umehonga pia plus your time ambayo ume dedicate kwake

Mie nina mke mzuri sana wa kabila langu, ukimwona utanipigia salute kali hata kama hujawahi kwenda jeshi. Nihangaike na mchaga nafuata nini? Thubutu.
 
Wewe kwa hayo maneno yako, natamani ungekuwa karibu halafu unasema hivyo, vibao vingekuhusu na kesi ningeimaliza kwa kukupa mbesa.

ningejitoa uchagani muda huo huo wa kunipiga hivo vibao... ungeweka history maana zaidi ya baba na walimu wangu, sijawah pigwa na kiumbe mwanaume
 
life is good sana jaman.. being single sometimes kuna raha zake. karibu kwny maisha ya stress free mae. live your life to the fullest

I am sweetheart....i thank God
namsubiri mchaga wangu....mtafutaji
 
Mie nina mke mzuri sana wa kabila langu, ukimwona utanipigia salute kali hata kama hujawahi kwenda jeshi. Nihangaike na mchaga nafuata nini? Thubutu.

hongera ila tafiti zinaonyesha bado unapiga one night stand games.. uchagani tunataka watu positive kuhusu maisha ambao ni very smart upstairs. we hutufai, baki huko huko kwenu
 
Mkuu, siamini kwamba wachaga wote hawafai lakini, kama nimeshuhudia na kuendelea kujionea mambo wanayofanya, hivi utanieleza nini? Hivi mwanamke mmeo ambaye siku zote ulionekana kumpenda afe, hata watu kuja kukufariji kwa ajili ya msiba hutaki, unasafiri zako tu kuelekea Kili? Kuzika hukwenda, kaburi hutaki kulisikia! Undugu hutaki tena, ndugu wa mme waliokuwa wanaishi na nyie unafukuza kama wanyama! Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaadeki!

Tatizo lenu mna itikadi za kiZamani za kurithi mke na mali za marehemu baada ya yeye kufatiki ila kwa bahati nzuri wachagga wengi ni waelewa ndo maana wakiwapiga pini mnawaita wauwaji...

Labda nikuulize swali kinachowapeleka kwa hao wajane ni nini kama sio kuvizia mali?? We mtu mme wake kafa ila bado mnataka kuwa dependent tu hebu acheni roho za umaskini
 
ningejitoa uchagani muda huo huo wa kunipiga hivo vibao... ungeweka history maana zaidi ya baba na walimu wangu, sijawah pigwa na kiumbe mwanaume

Wewe dawa yako ni kuolewa Tarime one tu. Utapigwa vibao hadi kwenye mbunye.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom