Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

Wachaga na wachaga sawa, lakini mie nina watu wamekufa vibaya na hadithi zimebaki vijijini kwao mpaka kesho. Ukioa mke wa kichaga ujihami tu usife, ukifa kama una wadogo zako, wazazi au ndugu wowote ambao ulikuwa unawasupport, hata kama uwe na mali kama Lowassa lakini ikawa chini ya mama huyo, huo utakuwa mwisho wao wa kusikia mali ya ndugu yao hata buku 10. Na wakikanyaga home kwake ndio wataitwa wezi kabisa!

Huwa siandiki vitu vya kubahatisha.
 
Wachaga na wahaya sio kwamba wana akili darasani, lakini kwa sababu elimu ilianzia kwao kwa sababu za ukoloni kwa hiyo wamepata kujua na kuthamini elimu mapema. Hawana akili za zozote zaidi ya kuforce madarasa hata kama hana uwezo, watarudia kusoma shule ya msingi. sekondari, vyuo mpaka siku watakapovuka darasa, the last thing watafanya ni kuiba vyeti. Nakuambia watafanya chochote ili mradi waonekane wasomi hata kama uwezo ni kama wa kuku. Tofauti kabisa na sisi ambao hatuna hiyo hali ya kulazimisha, we are just intelligent naturally!


This is nothing but hatred.
Pole sana ndugu
 
Mie hii tabia yenu kuwapaisha wachagga siipendi kama nini. Hapa mnawapa promo zaidi ya kuwakandia. Ni watu wa kawaida tu kama wengine, siku hizi kila mtu ni mchapakazi na mtafuta pesa kwa njia yoyote. Kuuwawa utake wewe.

Acheni kuwapa promo za kijinga.
 
Mkuu nakuambia hivi, mwanamke wa kichaga hawezi kudate na wewe kama huna kitu, simaanishi hela tu. Anaangalia pia potential kama elimu, utajiri kulingana na nafasi yako na jinsi unavyochacharika - hapo mie sina shida nao, nasema ni very good wao kutafuta mtu mwenye mwelekeo mzuri wa maisha. Lakini kwa nini wanawakamta wanaume kiasi hicho, jamaa kila kitu anapeleka kili, ndugu zake hata wale wadogo wasiojiweza labda anatakiwa awasupport kieleimu anakuwa hawatambui kabisa, lakini yeye akifa kwa huyo mwanamke anakuwa kama mzoga wa fisi!

Hiyo tabia ndio inawafanya wanaume wasiojiamini wawapende...
Kwao kuoa mchaga=ujanja=utajiri...
Maana bila kuwa matawi mchaga asingemkubali...
simple...

Tatizo ni ndugu zako...

Ni kama siku za nyuma mtu kuona ameukata kwa kuoa/kuolewa na mzungu
 
Hivi haiwezi pita cku bila kulizingumzia hili kabila!!!!??????????
 
Na ukute hao ndugu zako kinachowafanya waoe huko ni inferiority..
Sawa na wanaume wafupi kuona fahari kuwa na mwanamke mrefu...

Sasa akioa uchagani au uhayani anajiona kweli yeye kidume...amethubutu ...ameweza...
Kuoa kwao anaona ni uoga wa maisha...anataka challenge...

Kuna jamaa mmoja nimekutana nae juzi kati...mfuuupi...msukuma huyo bosi sehemu fulani...ana mbwembwe huyo...alinichosha katika makidai yake kurudia rudia mke wangu mchagga...kimoyo moyo I was like so what

Ngoja afe, na kwa ufupi wake huo anaweza kukunjwa, kuwekwa kwenye gunia na kuzikwa hata chumbani au migombani ndio ataisoma plate namba akiwa anaelekea kuzimuni. Wanawake wa kichaga nitacheka na nyie, nitakaa meza moja, tutashirikiana biashara au dili zingine lakini zisiwe za wizi, ila sitakaa nientertain uhusiano wa kindoa kati ya nyie na ndugu zangu. Hata unipe nini!
 
hivi una amini wameuliwa au wa,ekufa kama binadamu wengine...i mean natural death
hivi unadhani wangeishi milele

kwani wanaume/watu wengine awafi
una uhakika wameuawa

katika jamaa wote hao atleast nipe ushahidi mmoja
plz

Swali: Wewe mme wako anaweza kufa halafu usiende kumzika? Sio kwamba una huzuni kubwa mapaka huwezi kufanya chochote isipokuwa upo tu kawaida na unaendelea na mambo mengine. Jibu kwanza.
 
Hiyo tabia ndio inawafanya wanaume wasiojiamini wawapende...
Kwao kuoa mchaga=ujanja=utajiri...
Maana bila kuwa matawi mchaga asingemkubali...
simple...

Tatizo ni ndugu zako...

Ni kama siku za nyuma mtu kuona ameukata kwa kuoa/kuolewa na mzungu

Let them die! Ndio maana nakuambia kuna mikadi yaoya michango hapa, nitaipiga fire ngoja tu nimalize kazi fulani. Na michango yenyewe, sasa:

Double 250,000/=
Single: 150,000/=

Mwisho wao kuokotaokota hela zangu.
 
Swali: Wewe mme wako anaweza kufa halafu usiende kumzika? Sio kwamba una huzuni kubwa mapaka huwezi kufanya chochote isipokuwa upo tu kawaida na unaendelea na mambo mengine. Jibu kwanza.

Wachaga ,wachaga,mtuwache kabisa,naona mkishatudiscuss njaa ,kiu na stress huwa zinawaisha
 
Mie hii tabia yenu kuwapaisha wachagga siipendi kama nini. Hapa mnawapa promo zaidi ya kuwakandia. Ni watu wa kawaida tu kama wengine, siku hizi kila mtu ni mchapakazi na mtafuta pesa kwa njia yoyote. Kuuwawa utake wewe.

Acheni kuwapa promo za kijinga.

Mie sijawahi na wala haitatokea kuwaona wachaga kwamba wapo juu for whatever the case kuliko kabila lingine, kwa sababu mambwelambwela wengi tu hapa mtaani hawana kichwa wala tezi dume. Lakini kwa tabia hii ya hawa jamaa zangu kufanywa mazezeta, lazima niseme.
 
Mmmmmmh

Hapa napita tu

Wachaga waume zangu hao.......



What is this! Hivi wanawake wapo Kilimanjaro tu na Uhayani? Nina kadi za kuchangia harusi hapa, kadi zipo tisa! Tuachane na habari ya michango - kwa sababu kuchanga au kutokuchangia ni uamuzi wangu. Hivi inakuwaje kati ya hao watu tisa, saba ni ndugu zangu kwa kabila, watano wanaoa wachaga, wawili wanaoa wahaya! Na waliobaki ambao ni marafiki tu wanaoa wachaga! Miezi iliyopita nimechangia harusi nne, watatu wameoa wachaga, mmoja mhaya. Nilivumilia nikachanga kwa kudhani labda ilikuwa ni msimu wa wahaya na wachaga lakini upepo utabadilika na hali itakuwa ya kawaida mbeleni!

Mbaya zaidi hawa jamaa ni wasomi, wana nafasi nzuri kimaisha, kwa nini wasingeoa hata nyumbani wakati dada zetu ni warembo, (hawajiamini, wanaogopa kuwaapproach?) ili walete japo chachu ya maendeleo makwao au kwenye kabila letu? Ona sasa nguvu yote waliyowekeza wazazi wao inaenda kutumika kula bata uchagani na uhayani!

Mijitu mingi ya kabila langu ishakuwa inaoa wachaga na wahaya tu, nyumbani haiendi, kila mara ni uhayani na kilimanjaro, ukizingatia nauli ni ndefu tena ya ndege wakati home kwao ni pale tu hata kwa bodaboda wanaenda!

Huu ni wizi ambao siwezi kuuvumilia. Hivi kuna uchawi kwenye mapenzi? Hivi hii inatokeaje wakati tukiwa wadogo, tumekuwa tukionywa vikali na wazazi wetu usioe wala kuolewa na mchaga au mhaya, utatafuta kifo au mateso ya hali ya juu sana kutokana na ushahidi wa mambo yao kadhaa yaliyowahi kushuhudiwa? Hii mijitu haijifunzi, juzi kafa jamaa alikuwa ameoa mchaga, mke wake hata kuzika tu hakwenda, jamaa alikuwa engineer, tena jeshini. Mwaka jana kafa jamaa alikuwa mhasibu, wakati watu tunafanya mishemishe za kumsafirisha marehemu kwenda kumzika, mke yeye anahangaika na makaratasi kwa ajili ya umiliki wa nyumba na mali zingine, wakati hapakuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa ananalilia hizo mali. Au hizi harusi zinazohusisha wahachayaga na watu wa kabila langu ni projects?

Hawa jamaa Mamazao, hawanioni tena kwenye kamati wala harusi zao zinazoenda nshomile na mbesa.

Crazy me!

Nakala Kwa: lara 1 miss chagga Honey Faith Kongosho nyumba kubwa BADILI TABIA miss neddy Asprin - Babu na wengine wote mlioguswa na hili janga, bila kumsahau Matola, masai dada na everlenk.

Naombeni mbinu ya kuwaokoa hawa jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Swali: Wewe mme wako anaweza kufa halafu usiende kumzika? Sio kwamba una huzuni kubwa mapaka huwezi kufanya chochote isipokuwa upo tu kawaida na unaendelea na mambo mengine. Jibu kwanza.

kuenda tu makaburini au?????kushiriki shughuli nzima???

wanawake wa kiislam hawaendagi
na hata wakristo wengi kama hujiwez uendi
 
Back
Top Bottom