Na mtakufa wengi,wachaga siku.hizi tunakata viuno over wamakonde!!!
pesa uchagani,utamu uhayani
samahani kwa ku quote
Wachaga na wahaya sio kwamba wana akili darasani, lakini kwa sababu elimu ilianzia kwao kwa sababu za ukoloni kwa hiyo wamepata kujua na kuthamini elimu mapema. Hawana akili za zozote zaidi ya kuforce madarasa hata kama hana uwezo, watarudia kusoma shule ya msingi. sekondari, vyuo mpaka siku watakapovuka darasa, the last thing watafanya ni kuiba vyeti. Nakuambia watafanya chochote ili mradi waonekane wasomi hata kama uwezo ni kama wa kuku. Tofauti kabisa na sisi ambao hatuna hiyo hali ya kulazimisha, we are just intelligent naturally!
narudia tena kwa mara ya Mwisho
MUNGU ANAKUONA UNA UDHIBITISHO?????[/QUOT]
Ndio ninao, hata wao wanajijua. Ukiolewa nao wewe ambao ni mwanamke, utakuwa unatukanwa na kupata masimango ya hapa na pale, hasa kama sio mchaga, ila mwanaume wa kabila lingine kuoa mchaga, ajiwekee security sensor kwenye mwili wake.
Nani ndoa zao mjini zinaongoza kuvunjika? Twaweza njooni mtupe majibu ya research yenu.

Labda kama mali zipo Tarime ataogopa mishale, sasa jamaa zangu unakuta wanaishi Dar kabisa, labda Tabata nyumba ya kupanga, ati wanajenga Kili na kuwekeza huko! Nyiooooooooo zao, no one can stop them from going to hell! Jipange mapema, kama kuna wanaokutegemea waite kabla hujafa uwape chao!
Wote huonekana marafiki wazuri sana, na wana mitego, nahisi hata madawa wanatumia kuwavuta watu! Kuna dogo alikuja nyumbani na binti wa kichaga, nilimwangalia weee, yaani sikummaliza.
Sasa mkuu.. u cnt hack ur brotherz hrt.....i can fl ur pain bt there is nothng you/we can do to rescue them from that trap
hujabaniwa mpaka sasa hii?What is this! Hivi wanawake wapo Kilimanjaro tu na Uhayani? Nina kadi za kuchangia harusi hapa, kadi zipo tisa! Tuachane na habari ya michango - kwa sababu kuchanga au kutokuchangia ni uamuzi wangu. Hivi inakuwaje kati ya hao watu tisa, saba ni ndugu zangu kwa kabila, watano wanaoa wachaga, wawili wanaoa wahaya! Na waliobaki ambao ni marafiki tu wanaoa wachaga! Miezi iliyopita nimechangia harusi nne, watatu wameoa wachaga, mmoja mhaya. Nilivumilia nikachanga kwa kudhani labda ilikuwa ni msimu wa wahaya na wachaga lakini upepo utabadilika na hali itakuwa ya kawaida mbeleni!
Mbaya zaidi hawa jamaa ni wasomi, wana nafasi nzuri kimaisha, kwa nini wasingeoa hata nyumbani wakati dada zetu ni warembo, (hawajiamini, wanaogopa kuwaapproach?) ili walete japo chachu ya maendeleo makwao au kwenye kabila letu? Ona sasa nguvu yote waliyowekeza wazazi wao inaenda kutumika kula bata uchagani na uhayani!
Mijitu mingi ya kabila langu ishakuwa inaoa wachaga na wahaya tu, nyumbani haiendi, kila mara ni uhayani na kilimanjaro, ukizingatia nauli ni ndefu tena ya ndege wakati home kwao ni pale tu hata kwa bodaboda wanaenda!
Huu ni wizi ambao siwezi kuuvumilia. Hivi kuna uchawi kwenye mapenzi? Hivi hii inatokeaje wakati tukiwa wadogo, tumekuwa tukionywa vikali na wazazi wetu usioe wala kuolewa na mchaga au mhaya, utatafuta kifo au mateso ya hali ya juu sana kutokana na ushahidi wa mambo yao kadhaa yaliyowahi kushuhudiwa? Hii mijitu haijifunzi, juzi kafa jamaa alikuwa ameoa mchaga, mke wake hata kuzika tu hakwenda, jamaa alikuwa engineer, tena jeshini. Mwaka jana kafa jamaa alikuwa mhasibu, wakati watu tunafanya mishemishe za kumsafirisha marehemu kwenda kumzika, mke yeye anahangaika na makaratasi kwa ajili ya umiliki wa nyumba na mali zingine, wakati hapakuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa ananalilia hizo mali. Au hizi harusi zinazohusisha wahachayaga na watu wa kabila langu ni projects?
Hawa jamaa Mamazao, hawanioni tena kwenye kamati wala harusi zao zinazoenda nshomile na mbesa.
Crazy me!
Nakala Kwa: lara 1 miss chagga Honey Faith Kongosho nyumba kubwa BADILI TABIA miss neddy Asprin - Babu na wengine wote mlioguswa na hili janga, bila kumsahau Matola, masai dada na everlenk.
Naombeni mbinu ya kuwaokoa hawa jamaa.
narudia tena kwa mara ya Mwisho
MUNGU ANAKUONA UNA UDHIBITISHO?????[/QUOT]
Ndio ninao, hata wao wanajijua. Ukiolewa nao wewe ambao ni mwanamke, utakuwa unatukanwa na kupata masimango ya hapa na pale, hasa kama sio mchaga, ila mwanaume wa kabila lingine kuoa mchaga, ajiwekee security sensor kwenye mwili wake.
Nani ndoa zao mjini zinaongoza kuvunjika? Twaweza njooni mtupe majibu ya research yenu.
aiseee vipi ukiolewa uchagani
Hapana MADAI dada,wewe mwenyewe shahidi....
Mkuu, siamini kwamba wachaga wote hawafai lakini, kama nimeshuhudia na kuendelea kujionea mambo wanayofanya, hivi utanieleza nini? Hivi mwanamke mmeo ambaye siku zote ulionekana kumpenda afe, hata watu kuja kukufariji kwa ajili ya msiba hutaki, unasafiri zako tu kuelekea Kili? Kuzika hukwenda, kaburi hutaki kulisikia! Undugu hutaki tena, ndugu wa mme waliokuwa wanaishi na nyie unafukuza kama wanyama! Daaaaaaaaaaaaaaaaaaaadeki!
Wachaga na wachaga sawa, lakini mie nina watu wamekufa vibaya na hadithi zimebaki vijijini kwao mpaka kesho. Ukioa mke wa kichaga ujihami tu usife, ukifa kama una wadogo zako, wazazi au ndugu wowote ambao ulikuwa unawasupport, hata kama uwe na mali kama Lowassa lakini ikawa chini ya mama huyo, huo utakuwa mwisho wao wa kusikia mali ya ndugu yao hata buku 10. Na wakikanyaga home kwake ndio wataitwa wezi kabisa!
Hahahahaaaa, hawa jamaa dawa yao ni ndogo sana, ila mapenzi yanatupofusha kila kitu unakua ndio wife, oh me nilimtangazia ubabe mapema kama unataka tuishi kwa amani you have to follow ma rules.