Ndugu zangu waislamu mnaposema peponi wanaume watakuta mabikra 72 na je wanawake watakuta wanaume mapafu ya mbwa 72

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,524
Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari.

Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni.

Ijumaa njema tukutane kwenye biriani
 
Quran 37:40.
Isipokuwa waja wa Mwenyeezi
Mungu waliosafishwa.
ﺃُﻭْﻟَﺌِﻚَ ﻟَﻬُﻢْ ﺭِﺯْﻕٌ ﻣَّﻌْﻠُﻮﻡٌ
41. Hao ndio watapata riziki maalumu.
ﻓَﻮَﺍﻛِﻪُ ﻭَﻫُﻢ ﻣُّﻜْﺮَﻣُﻮﻥَ
42. Matunda na wao wataheshimiwa.
ﻓِﻲ ﺟَﻨَّﺎﺕِ ﺍﻟﻨَّﻌِﻴﻢِ
43. Katika Bustani zenye neema.
ﻋَﻠَﻰ ﺳُﺮُﺭٍ ﻣُّﺘَﻘَﺎﺑِﻠِﻴﻦَ
44. Juu ya vitanda vya fahari wakikabiliana.
ﻳُﻄَﺎﻑُ ﻋَﻠَﻴْﻬِﻢ ﺑِﻜَﺄْﺱٍ ﻣِﻦ ﻣَّﻌِﻴﻦٍ
45. Wakizungushiwa kikombe chenye (kinywaji)
safi.
ﺑَﻴْﻀَﺎﺀ ﻟَﺬَّﺓٍ ﻟِّﻠﺸَّﺎﺭِﺑِﻴﻦَ
46. Cheupe chenye ladha kwa wanywao.
ﻟَﺎ ﻓِﻴﻬَﺎ ﻏَﻮْﻝٌ ﻭَﻟَﺎ ﻫُﻢْ ﻋَﻨْﻬَﺎ ﻳُﻨﺰَﻓُﻮﻥَ
47. Hakina. madhara, wala hakiwaleweshi.
ﻭَﻋِﻨْﺪَﻫُﻢْ ﻗَﺎﺻِﺮَﺍﺕُ ﺍﻟﻄَّﺮْﻑِ ﻋِﻴﻦٌ
48. Na pamoja nao watakuwa wanawake wenye
macho mazuri matulivu.
ﻛَﺄَﻧَّﻬُﻦَّ ﺑَﻴْﺾٌ ﻣَّﻜْﻨُﻮﻥٌ
49. Hao wanawake macho kama mayai (ya Mbuni) yaliyohifadhiwa.
 
Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari.

Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni.

Ijumaa njema tukutane kwenye biriani

Ni Wanaume tu ndio tumeahidiwa Wanawake 72.

Hizi za wanawake na wao eti wakojozwe zimeanza Beijing😂😂😂😂

Wao wafanye mema duniani. Ila Wakifika Mbinguni wanatulia wasubirie kugawanywa kwa wanaume.
 
Ila nadhan hii ya wanawake 72 ni hadithi tu.
Sijui kama imeandikwa kwa Quran.
(Sina uhakika)

Ila ya kuahidiwa wanawake imeandikwa.

Swali la kujiuliza. Je ni Hao wanawake ambao wameahidiwa wanaume ni kwaajili ya Kustarehe nao tu? Au kwa ajili ya kuzaliana?

Maana tumeahidiwa wanawake Wazur kweli . Macho mazur sana na makubwa

Cc
Busu la Kenge
Covax
Fbn
 
Watakuwa kama Mazombie
Matesoni

kwa kuwa mnafurahia huu uongo
Yani mtu yupo ndani ya uongo na uongo ndani ya uongo na uongo ndani ya uongo na uongo ndani ya uongo na uongo ndani ya uongo na uongo ndani ya uongo na uongo ndani ya uongo na uongo ndani ya uongo na uongo ndani ya uongo ……..
 
Quran 47:15
"Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya mvinyo yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa na kila namna ya matunda, na maghfira kutoka kwa Mola wao Mlezi. Basi hao ni kama watakao dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata matumbo yao?."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…