Ndugu zangu waislamu hii ni kweli!?

Ndugu zangu waislamu hii ni kweli!?

Jana nlivofika kibaruani asbh mjengoni baada ya kusain then maongez n colleagues kdg...

Kuna mzenji afsa mwenzangu uwa tunapenda kumtania kwmb yy kwa mkewe ni bwege coz uwa anamfanyia mkewe kila kitu ilhal mke wake yy ni kula, kunywa, choon, kuvaa n kupatiwa chchte anachohitaji ikiwemo kugegedwa pia tena ad afike peak....

Yaan mwanamke hapiki, hafui, wala kufanya lolote lile,

Sasa jana ile nlimuuliza iv ni kwel anavotuambiaga ivo!

Akadai ni kawaida kwa mwanaume wa kiislam akishaoa tu, yy (mwanaume) ndo ana jukum la kumtunza mwanamke ikiwa ni pa1 n kufanya kaz zte za ndan pa1 n mambo mengine ikiwemo kwnd sokon n kupika....

Ndugu zangu waislam ni kweli iyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Style yako ya kuandika na thread yako vyote ni vya kitoto.
 
Yaap hiyo ni kawaida wala usoshangae maana mtume amesema mwanamke akifanya jambo lolote kukufanyia anapata dhawaabu na akiacha kama kupika,kufua na kadhaalika hapati dhambi.so mwanamke kukufanyia hivyo yeye niutashi wake na pia ili apate thawabu but anaweza kuacha kukufanyia na ukiamuacha kwa kumpa taraka wewe utaonekana kwenda wazim maana hajaja kwako kukupikia wala kukufulia Bali alikuja kwa ajiri moja 2 ambayo wewe mwenyewe ulikuwa ukihangaika huku na kule unatumia mapesa meng sana lakin kakurahsishia

Sent using Jamii Forums mobile app
Someni vitabu vizuri ..mwanamke asichokatikwa kufanya nikutoka nje yanyumba yani kama kwenda sokoni pekeyake ,ndo maana unatakiwa mahitaji yote ukanunue mwanaume ulete nyumbani .lakini kupika mwanamke kaambiwa apike tena wameambiwa wapike wawapikie waumezao vyakula vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh!
Inavyoonekana mwanamke aliye kwenye ndoa analindwa sana kwa mujibu wa dini ya kiislam.
Sikuwahi kuyajua haya.
Pia inaonekana waislam wengi hawayajui haya.
Nina marafiki wengi waislam lakini katu hawajahi kunieleza mambo haya na pia hawawatendei wake zao vyema na ndio nikahisi labda kuna kasoro kwenye hiyo dini.
 
Jana nlivofika kibaruani asbh mjengoni baada ya kusain then maongez n colleagues kdg...

Kuna mzenji afsa mwenzangu uwa tunapenda kumtania kwmb yy kwa mkewe ni bwege coz uwa anamfanyia mkewe kila kitu ilhal mke wake yy ni kula, kunywa, choon, kuvaa n kupatiwa chchte anachohitaji ikiwemo kugegedwa pia tena ad afike peak....

Yaan mwanamke hapiki, hafui, wala kufanya lolote lile,

Sasa jana ile nlimuuliza iv ni kwel anavotuambiaga ivo!

Akadai ni kawaida kwa mwanaume wa kiislam akishaoa tu, yy (mwanaume) ndo ana jukum la kumtunza mwanamke ikiwa ni pa1 n kufanya kaz zte za ndan pa1 n mambo mengine ikiwemo kwnd sokon n kupika....

Ndugu zangu waislam ni kweli iyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta mchumba uoe kwanza !
 
Watu wengi huwa wanahisi wake zao ni watumwa wao...mke sio mtumwa..
Kumbuka Mungu hakumuumba mwanadamu ili amtawale mwanadamu mwinzie..
 
Mh!
Inavyoonekana mwanamke aliye kwenye ndoa analindwa sana kwa mujibu wa dini ya kiislam.
Sikuwahi kuyajua haya.
Pia inaonekana waislam wengi hawayajui haya.
Nina marafiki wengi waislam lakini katu hawajahi kunieleza mambo haya na pia hawawatendei wake zao vyema na ndio nikahisi labda kuna kasoro kwenye hiyo dini.
Watu wamechukua tafsiri isiyo sahihi hasa waislamu ambao dini yao wameibeba kwa matukio tu na sio kwa elimu ya dini yenyewe.
Mfano unaweza ishi na rafiki yako usijue km ni muislamu ila utakuja kulijua hilo wakati wa mwezi wa RAMADHANI,akitaka kuoa, ama sikukuu ya idd. LAKINI si kweli kwamba mwanamke awe ni wa kupigwa machine tu HAPANA. NALIKATAA HILI KWA DALILI MAANA HATA MTOTO WA KIKE WA MTUME ALIPOOLEWA ALITINGWA NA MAJUKUMU AKAMUOMBA BABA YAKE AMPATIE MTUMWA N.A. AKAMWAMBIA MWANAWE AWE N.A. SUBRA KATIKA NDOA N.A. AENDELEE KUMUHUDUMIA MUMEWE
 
Mwanamke kazi yake ni kumstarehesha mumewe,
na ndio maana mumeo akikuhitaji ukamkatalia unapata dhambi sana sana sana, imagine nimetoa kwenye biashara zangu sahv ndo naingia home,tangu asbh nahangaika na Mishe mishe akiomba game lazima nichomoe kwani nimechoka na Hata nikimpa nakuwa sitoi ushirikiano kwani nimechoka, but wat if nashinda tu home siwez choka Hata akitaka 24/7 nampa ntapumzika nikiwa bleed,

Kutokana na hali ya maisha ilivyo ndo tunahangaika kusaidiana ingawa ilitabiriwa kuwa kiama kikikaribia wanawake watakuwa wengi masokoni



invest what you are willing to lose
 
Mh!
Inavyoonekana mwanamke aliye kwenye ndoa analindwa sana kwa mujibu wa dini ya kiislam.
Sikuwahi kuyajua haya.
Pia inaonekana waislam wengi hawayajui haya.
Nina marafiki wengi waislam lakini katu hawajahi kunieleza mambo haya na pia hawawatendei wake zao vyema na ndio nikahisi labda kuna kasoro kwenye hiyo dini.
Ukiusona (sio ukiwasona) hautaamini dini yoyote zaidi hii ya Allah

Karb katika uislam

invest what you are willing to lose
 
Qur'an inachekeshaga saa zingine.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jana nlivofika kibaruani asbh mjengoni baada ya kusain then maongez n colleagues kdg...

Kuna mzenji afsa mwenzangu uwa tunapenda kumtania kwmb yy kwa mkewe ni bwege coz uwa anamfanyia mkewe kila kitu ilhal mke wake yy ni kula, kunywa, choon, kuvaa n kupatiwa chchte anachohitaji ikiwemo kugegedwa pia tena ad afike peak....

Yaan mwanamke hapiki, hafui, wala kufanya lolote lile,

Sasa jana ile nlimuuliza iv ni kwel anavotuambiaga ivo!

Akadai ni kawaida kwa mwanaume wa kiislam akishaoa tu, yy (mwanaume) ndo ana jukum la kumtunza mwanamke ikiwa ni pa1 n kufanya kaz zte za ndan pa1 n mambo mengine ikiwemo kwnd sokon n kupika....

Ndugu zangu waislam ni kweli iyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli...huyo ni mume bwege+

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kazi ya mwnmke kupka, kufua n. K kazi yake ni kuzaa. Ila majukumu hyo mwanke anaweza kuyafanya Kama sehemu ya mpnzi ya mke kwa mumewe.Allah knows much

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ni kwanini wanashika nyadhfa mbalimbali hadi wizara katika nchi?

Kwanini wasifanye kazi yao ya kuzaa tu?
 
Back
Top Bottom