Ndugu zangu waislamu hii ni kweli!?

Ndugu zangu waislamu hii ni kweli!?

Msidanganye watu.... Mtume saw hakuwa na muda wa kupika kama alifanya ni mara moja moja sana ... Ni kweli kwamba sheria haimlazimishi mwanamke wa kiislam kumpikia na kumfulia mumewe lakini wanawake wa kisahaba walikuwa wakifanya zaidi ya hayo kuonyesha mapenzi Kwa waume zao.... Sema wanawake wa kiunguja ni wavivu na wakipata dume bwege kama hilo ndo kabisaaa. Ila sheria haikurusu kuvidai hivyo vitu Ila inatarajiwa kutokana na mapenzi atakufanyia.

Sent using Jamii Forums mobile app
"Msidanganye watu mtume hakuwa na muda wa kupika kama alifanya basi mara moja moja sana"

Sijaona la kujibu ktk hili naona unataka kutofautisha vyenye kufanana kwa jazba zako dhidi ya hao uliowaita wanawake wa kiunguja

Waache walioamua kufanya wakitegemea kupata radhi za Allah nawe baki na misimamo yako usiwatie ujuhalaaa wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila atakachokifanya mkeo kwako ni kwa mapenzi yake tuu. Ila si lazima kila kitu utawajibika wewe mwanaume ulie muoa. Na nikwakuwa mkeo c mjakazi wako ispokuwa ni kwa kazi moja tuu uliemuolea. Basi zingine zote afanye kwa kupenda mpka kufua na kupika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kazi moja ndio kugegedwa na kuzaa tu?
 
Back
Top Bottom