Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Ndugu zake Jerry Muro wamkana

Status
Not open for further replies.
Dah! Kumbe mkolomije!? Naye kama Bashite kafoji vyeti!

Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
 
Makamanda punguzeni udaku na umbea.
 
Tukisema chadema= Uchaga, tunaitwa majina wengine tunakula ban, lkn huwo ndo ukweli, chadema ni Chama cha Wachaga na wasio Wachaga wanajipendekeza tu chadema lkn ukweli ni kwamba ni third class na wako kutumiwa na kutupwa kama alivyofanyiwa Tundu Lisu!
 
Kwa staili hii mnatufanya tusiamini chochote kisemwacho na chadema. Niwaongo na bingwa wa kupika mambo
 
Nadhani ni muda mwafaka kukaa kimya bila kumzungumzia Jerry Muro.Anapata umaarufu kirahisi sana.mimi kuanzia kesho sitasoma thread zote zinazomhusu Huyu Mtu popote pale. Too cheap popularity
 
Hivi mmekosa kazi za kufanya mpaka muamfatilie uyo Muro? Mnamuona kabisa ana matatizo ya akili na nyie mnakimbizana nae.
 
Nashauri cdm hasa viongozi wakuu..wasimjibu maana hana chama..huyu waachie wanamtandao na wajenga hoja kumjibu...

cdm MNASIKIA MSIPOTEZA MUDA KUJIBU JERY MURO ITAKUWA NI AIBU KWA CHAMA KUJIBIZANA NA MTU AMBAYE HATA SIO BALOZI WA NYUMBA KUMI
 
Hahahahaha
Naona wadau manaweka movie mpya....ndo inaanza
 
Wazee wakuokoteza hoja za hapa na pale.Hili nalo mtalishikia bango km vile ni hoja yenye mashiko na itakayo wafanya mshike dola 2020!
Tulia dawa iingie, mbona unaanza kukimbilia Nissan nyeupe tena,, hahahaha just hahahahaha
 
Murro ni kiboko ya vibavicha na CDM yote
 
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Inji hii movie script writers ni wengi sana ..[emoji56]
 
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Dah ya gizani yanatoka nuruni
 
Wazee wakuokoteza hoja za hapa na pale.Hili nalo mtalishikia bango km vile ni hoja yenye mashiko na itakayo wafanya mshike dola 2020!
Acha kujidai huna fahamu ni hoja ipi ya kuokoteza? Hoja zote huwa na maana usitake kumtetea Boss wako hapo gheto kwa vineno vyako vya kijinga jinga hakuna cha hoja ya kuokoteza hapa hoja zote ni sawa Subiria sindano zije kwa huyo mfanyakazi wa Bashite kwenye Nissan nyeupe
 
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Zilete habari zake tafadhali
 
So what!!!!
 
Ni ufinyu wa akili tu ndiyo unaweza kumfanya mtu aandike hivi. Huyu aliyetangaza hadharani na kuwashangaa polisi kwa kutowaua Lema na Nassari na yuko huru hadi sasa unataka adharauliwe!? Wakati mwingine tumia akili japo kidogo tu kabla ya kukurupuka.

Chadema bwana yaani hata Muro anawahamisha kwenye reli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom