Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,498
- 283,903
Akijifanya kauzu sisi tutajifanya dagaaKwa hiyo ni sahihi kwa chama kikuu cha UPINZANI kubishana na mtu ambaye si hata mjumbe wa nyumba 10?!
Akijifanya kauzu sisi tutajifanya dagaaKwa hiyo ni sahihi kwa chama kikuu cha UPINZANI kubishana na mtu ambaye si hata mjumbe wa nyumba 10?!
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
Anasifa ya kuwaongoza wasomi woooote waliojazana kwenye chama chenu![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kwani Mbowe kafoji vyeti, elimu yake ina tatizo lipi mkuu? Hata kama alifeli sasa kufeli ni kosa la jinai au?
We CHADEMA kuna vichwa mult task, single task wengi mmeachwa CCM.Chadema bwana yaani hata Muro anawahamisha kwenye reli
Haha sina chama mkuuAnasifa ya kuwaongoza wasomi woooote waliojazana kwenye chama chenu![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Siku hizi usukuma ni hojaKwahiyo kuwa msukuma imekuwa ni hoja?
Habari zilizotufikia kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro zinatanabaisha ndugu wa Jerry Muro wamkana kuwasiyo ndugu yao wa Ukoo wa Muro kwani Cheti alichosomea nichandugu yao aliyefariki miaka mingi iliyopita na mwalimu Rafael anahusika kwa shule ya loyamungo kwa kiasi kibwabwa kwani Jerry Murro ni msukuma kwa kabila na shule alizopita tutaweka hapa mda si mrefu
yaani kuna mambo mengine unashindwa kuelewa,haya baada ya kufoji alibadili jina?Nitashangaa nikiona chadema wanajibishana na jerry muro.
Halafu tukirudi suala la elimu mtajitafutia maswali wenyewe sababu jamaa atahoji elimu ya mwenyekiti wenu pia
Jenga hoja, usitukane, si ajabu na ndugu zako including your parents ni wapinzaniHaya mapinzani ya nchi hii ni ovyo na bure kabisa!Unaanzaje kupambana na mtu ambaye hata si mjumbe wa nyumba 10 km si UJUHA!
Hahahahaha hivi kichwa kinachotoa uchafu ule ulitegemea kiwe kiwe na kitu upstair?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe bashite type
Tatizo lenu vichwa vyenu havina kitu na ndio maana mnashangilia kila upuuzi. Aliyekwambia elimu ya huyo mwenyekiti ina tatizo ni nani? Huyo mwenyekiti alifeli kidato cha sita, baadaye akasafisha cheti chake akaendelea na elimu ya juu, Hapo kuna shida gani?Nitashangaa nikiona chadema wanajibishana na jerry muro.
Halafu tukirudi suala la elimu mtajitafutia maswali wenyewe sababu jamaa atahoji elimu ya mwenyekiti wenu pia
Huyu kwanza Maeneo kama Kware au Mula hawezi kukaaWamachame hatunaga hizo mambo za huyo jamaa
Tatizo lenu vichwa vyenu havina kitu na ndio maana mnashangilia kila upuuzi. Aliyekwambia elimu ya huyo mwenyekiti ina tatizo ni nani? Huyo mwenyekiti alifeli kidato cha sita, baadaye akasafisha cheti chake akaendelea na elimu ya juu, Hapo kuna shida gani?