Ndugu wa 'mume' wa Ufoo waja na mapya

Ndugu wa 'mume' wa Ufoo waja na mapya

Hata akipona huyu hawezi sema ukweli.Mtu ambaye hana hofu ya Mungu hawezi sema ukweli hata siku moja.Sijui ataenda kuishi dunia gani.

atatudanganya sisi ila moyoni mwake katu ukweli hauto futika
 
Mojawapo ya shida kubwa sana ambazo naziona mara nyingi kwenye matukio kama haya ni jinsi gani eneo la uhalifu linavyokuwa contaminated mapema kiasi cha kuvuruga ukusanyaji wa ushahidi.
 
Hata akipona huyu hawezi sema ukweli.Mtu ambaye hana hofu ya Mungu hawezi sema ukweli hata siku moja.Sijui ataenda kuishi dunia gani.

kwa kudhulumu tu hadi kuleta maafa ya namna hii, ujue huyo hofu ya Mungu iliisha zamani sana
 
Mushi namfananisha na yule afande asokuwa na shabaha kwa sheikh P. .kwa women wachakachuaji kama uuffoo ni kutandika risasi za kichwa tu.
 
Hakuna kufa mara mbili wakati mwingine tuwe makini na maamuzi yetu. Mushi hawezi kurudi tena hata kama iweje ameshatia pengo kwa familia na taifa pia.
 
Mushi namfananisha na yule afande asokuwa na shabaha kwa sheikh P. .kwa women wachakachuaji kama uuffoo ni kutandika risasi za kichwa tu.

Kwenye za weka "ya"...these things are expensive in a way kuwa mchumi bana
 
Hakuna kufa mara mbili wakati mwingine tuwe makini na maamuzi yetu. Mushi hawezi kurudi tena hata kama iweje ameshatia pengo kwa familia na taifa pia.

As if hakuna causative agent!!!!!! Naye unashauri nini juu yake?????
 
asante kwa kunisaidia.
Heaven on earth hicho ndo kinanivuruga.

Natamani nijigeuze niwe upepo niingie pale wodini nimkabe ufoo hadi atoe ukweli..
Kova hana jipya.

Leo nimesoma Nipashe..wanasema muuaji azikwa bila shughuli za kikanisa

na picha yake for the first time ndo nimeiona...kuna mengi mzito kwenye hii

ishu we acha tu
 
Mbona linaelezeka kirahisi tu. Katika hali ya tukio hilo kuna uwezekano mkubwa kuwa kulikuwapo purukushani ya kujaribu kuzuia au kunyang'anyana hiyo silaha baada ya kumpiga mama mkwe. Purukushani hiyo inaweza kuelezea hiyo risasi ya begani. Baada ya huyo mwananume kupata tena udhibiti wa silaha yake, ndio akapata nafasi ya kumshambulia Ufoo na kudhani ameshawauwa wote wawili. Baada ya hapo, akajipiga risasi chini ya kidevu ili kujimaliza. Kama polisi wapo makini, sio kazi ngumu sana kubaini ni silaha ngapi/gani zilitumika katika tukio hilo. Hata hivyo, Ufoo anabaki kuwa shahidi muhimu sana katika tukio hili. Na ni kweli pia kuwa kuna uwezekano wa kuwepo kwa mambo mengi tu yaliyojificha kuhusiana na kadhia hii.

You sound like detective kiongozi, if not basi unafaa kuwa detective officer.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
risasi mbili alipiga ya kwanza akaona amekosea akalenga vizuri ya pili ndio jibu
 
leo nimesoma nipashe..wanasema muuaji azikwa bila shughuli za kikanisa

na picha yake for the first time ndo nimeiona...kuna mengi mzito kwenye hii

ishu we acha tu

ndio utaratibu huo ulivyo, ukijiua kwa kujinyonga , risasi wanafukia tu kama mzoga hakuna sala wala mchunaji kutamka neno lolote. Mchungaji atakuja tu kama raia wengine waliofika msibani
 
HII ni kama filam ya ALIAS manake hakuna kinachojulikana. ukisema WILL TIPPIN ndiye aliyemuua mke wa MARCUS unasahau kwamba ALLISON aliyefake kuwa FRANCE ndie muuaji.

Ukisema IRINA alijiua kwa kuzama kwenye maji KUMBE IRINA alisave na yupo hai anafanya kazi na SLAONE. ukisema EMMILY amekufa na amezikwa ARVIN ANAKWENDA KUFUKUA NA KUKUTA JENEZA LIKIWA TUPU NA KWAMBA MPANGO WA KUMUUA YY NDIYE ALIYE FAKE..............YAANI MAMBO NI VULULU VULULU.....................
Muwe na siku njema.

ngoja nirudi nikaanze kuangalia ALIAS season 4 niendelee kuburudika na weekend.....
 
tatizo vyombo vyetu vya usalama vinafanya kazi kwa mazoea. mana kwa tukio hili ilitakiwa wote waliopona na waliokuwepo eneo la tukio wanakuwa ni washukiwa wa kwanza hata kama wapo mahututi kiasi gani hadi hapo uchunguzi utakapo fanywa.
 
Sisi Police tumejifunza nini?

Ukitaka kuua piga ya kichwa... Sio tumboni wala Begani.
 
tatizo vyombo vyetu vya usalama vinafanya kazi kwa mazoea. mana kwa tukio hili ilitakiwa wote waliopona na waliokuwepo eneo la tukio wanakuwa ni washukiwa wa kwanza hata kama wapo mahututi kiasi gani hadi hapo uchunguzi utakapo fanywa.

Umeongea ukweli. Kuna possibility ata jamaa hajajiua, au walikua wanagombaniana hiko kifaa cha kurushia vichuma vyenye ncha kali ndio wakafyatuliana kwa bahati mbaya.
 
risasi mbili alipiga ya kwanza akaona amekosea akalenga vizuri ya pili ndio jibu

Mwanamke si kapigwa risasi mbili?

Na marehemu si ana majeraha ya risasi mbili?

Usikute wote walikua na Bastola.
 
Ninachojua ukishakufa huna lako kwani marehemu hana haki. Ukweli wanaujua hawa wamachame. Mie ngachoka sana na ishu zao. He yani kama alkaida kwa matendo yao? hivi hawa nao ni watanzania kweli au walihamia kutoka iraq na somalia??

Ni Wapalestina!
 
Back
Top Bottom