Haijawa proved beyond reasonable doubt kwamba jamaa kajirestisha in peace. kanisa limesema hajazikwa kiutaratibu wa kanisa kwa kuzaa nje ya ndoa na si kwa kujiua.
Huu utaratibu naona unawahusu zaidi akina kabwela, akifa mtu kama Mengi anaweza kususiwa kweli?
Mbona linaelezeka kirahisi tu. Katika hali ya tukio hilo kuna uwezekano mkubwa kuwa kulikuwapo purukushani ya kujaribu kuzuia au kunyang'anyana hiyo silaha baada ya kumpiga mama mkwe. Purukushani hiyo inaweza kuelezea hiyo risasi ya begani. Baada ya huyo mwananume kupata tena udhibiti wa silaha yake, ndio akapata nafasi ya kumshambulia Ufoo na kudhani ameshawauwa wote wawili. Baada ya hapo, akajipiga risasi chini ya kidevu ili kujimaliza. Kama polisi wapo makini, sio kazi ngumu sana kubaini ni silaha ngapi/gani zilitumika katika tukio hilo. Hata hivyo, Ufoo anabaki kuwa shahidi muhimu sana katika tukio hili. Na ni kweli pia kuwa kuna uwezekano wa kuwepo kwa mambo mengi tu yaliyojificha kuhusiana na kadhia hii.
Mojawapo ya shida kubwa sana ambazo naziona mara nyingi kwenye matukio kama haya ni jinsi gani eneo la uhalifu linavyokuwa contaminated mapema kiasi cha kuvuruga ukusanyaji wa ushahidi.
Hivi dali ya hiyo nyumba ina ngazi kabisa za kupandia!!!?
Maana ninavyoelewa mimi nyumba nyingi za mjini zina ceiling boards. Halafu kwenye ceiling board inaweza kuachwa sehemu moja tu ambayo unaweza kuifungua kuingia juu dalini (mara nyingi hii huwa sebuleni), na ili kuifikia ni lazima uweke ngazi hapo.
Je hao vijana waliitoa wapi ngazi ya kupanda haraka haraka huku purukushani ikiendelea?
Je huko "walikokuwa wamejificha" kulkuwa na access ya kupanda dalini?
Maswali ni mengi sana....!
Hao vijana ni moja ya mashahidi muhimu sana katika hili sakata.
Sasa ajabu inaweza kuja gundulika kuwa uwezo wa bastola ya huyo mtu ni risasi nane. Halafu mama kapigwa risasi tano,Ufoo naye mbili na marehemu kajipiga risasi mbili. Jumla hapo ni risasi 9. Hiyo risasi ya ziada imetoka wapi?mama ake kapigwa risasi 5 very strangee
Niliwahi kuona movie ya Nigeria maiti inakabidhiwa shoka kabla ya kuzikwa then inazikwa na hiyo shoka. Huwezi amini hilo shoka lilikuja kuwaua wote walioshiriki kumuua huyo jamaa. kama vipi Mushi naye akabidhiwe shoka tu inawezekana ikarudi kuwabeba hao wengine (kama wapo).
Nimetoa huu mfano maana kwa polisi hawa hawa wakina Kova na wenzie, haitegemewi tupate uchunguzi wa kweli kizingatiwa kuwa maiti huwa haiongei. kila kitu inasukumiwa maiti.
Hili swala wa si utata kwa kujipiga risasi mbili.kwanza tukio linaonesha huyu jamaa alikuwa na silaha yenye ku load more than 8 bullets maana yeye kajipiga 2 mkewe 2 mama mkwe 5 lakin kawaida ya risas inapoingia mwlinili ikikutana na damu mwili unatabioa ya kufa ganzi kwaiyo kama alijirenga kidevun ni dhahiri mwili ulipoanzakufa ganzi wakat mkono unashuka kidole kilikuwa bado na trigger ikashuti began maana ktk hali ya kawaida huwezi kujipiga began ukitegemea utakufa.
Lakin kwa ufo naye hatuambia palikuwa na kurupushani gani maana kwa risasi tano kwa mama yake na na bastola inavyoonekana ambayo ilitumika kutokana na capcity ya risasi zilizotoka japo hatujaambiwa walikuta risas ngap zkwenye magazine ni dhahisi sem automatic kiasi kwamba ndani ya sekunde 15 paka 20 alikuwa ametumia kumpiga mama yake sasa kwa wakati huo yeye alichukua defense gan au kuna nn kiliendelea
Acheni unafiki then mnajiita eti great thinkers my a*^&%e!! huyo mwanamme part II keshatajwa sana kwenye mablog ni huyo mwanasiasa wenu Zitto Kabwe!!
source: Le Mutuz blog