Kwa hiyo inaweza kuwa WAMEMMACHAME?
Hii taarifa hata mimi nimetumiwa kwenye viber ikimtaja mwanasiasa mmoja maarufu kama ndiye aliyekuwa rafiki wa Ufoo. If there is any truth in this, I don't know. Time will tell.
Mkuu mtaje tuu uyo mheshimiwa ila ukwel uzidi fuatiliwa, la tuwaite jicho pevu watusaidie? Kwa sababu huku ni kutumia madaraka yao hovyoo na huyu ufoo kama ana mimba kweli tuu, ajue ana laana hata kama jamaa aliwapiga risasi kweli. Anataka kuleta ujanja wa kula viwili kwa wakat 1...?
Aaaah bwana Surambaya we tulia taarifa utazipata tu kama isipotumika "noble lie" hakuna siri chini ya jua kaka. Jamaa alikuwa kajikusanyia hela zake kwa 6 years na kununua vifaa kwa ajili ya kufungua studio yake Nairobi worthing 1 billion anarudi anaambia eti aaah mama kaviuza....weeeee inahitaji uwe na roho ya Mungu ndani mwako kuhimili hisia zako. Mwanaume part II samahani siwezi kumtaja maana bado ni hearsay. Tuachie vyombo vya usalama wafanye kazi yao kaka.
Sasa kama ilitokea purukushani na jamaa akadhania ufo amefariki sasa ilikuwaje mpaka akakimbia kwa uyo fundi samani na kuomba msaada? Hapa ---- mengi ya kuelezwa na si kuchukua majibu rahisi tuu..
Na yule mdada alisema alikuwa juu ya dari? Na je kuna matundu yeyote ya risasi kwenye ukuta?
si kuna waliokimbilia darini?wataeleza aliyeanza kupiga risasi ni nani
Hapo wenye ushahidi ni marehemu wawili hakuna kesi hapo! Get well soon Ufoo uje kuripoti mikutano ya Chadema!
Niliwahi kuona movie ya Nigeria maiti inakabidhiwa shoka kabla ya kuzikwa then inazikwa na hiyo shoka. Huwezi amini hilo shoka lilikuja kuwaua wote walioshiriki kumuua huyo jamaa. kama vipi Mushi naye akabidhiwe shoka tu inawezekana ikarudi kuwabeba hao wengine (kama wapo).
Nimetoa huu mfano maana kwa polisi hawa hawa wakina Kova na wenzie, haitegemewi tupate uchunguzi wa kweli kizingatiwa kuwa maiti huwa haiongei. kila kitu inasukumiwa maiti.
Unamaanisha Mzee wa Vitalu vya Gesiasilia, Baba Wawili? Anawekeza "rasilimali" mpaka Machame? Duh!
Hii taarifa hata mimi nimetumiwa kwenye viber ikimtaja mwanasiasa mmoja maarufu kama ndiye aliyekuwa rafiki wa Ufoo. If there is any truth in this, I don't know. Time will tell.
Hii taarifa hata mimi nimetumiwa kwenye viber ikimtaja mwanasiasa mmoja maarufu kama ndiye aliyekuwa rafiki wa Ufoo. If there is any truth in this, I don't know. Time will tell.
ndio utaratibu huo ulivyo, ukijiua kwa kujinyonga , risasi wanafukia tu kama mzoga hakuna sala wala mchunaji kutamka neno lolote. Mchungaji atakuja tu kama raia wengine waliofika msibani
Mbona mnaremba???? mwanasiasa aliyetajwa kwenye hiyo meseji ni yule aliyekomalia mabilioni ya Uswiss
Nimekuwa naperuzi huku na kule kuhusu hizi habari, napata zenye face tofauti tofauti, sasa hapa nitaomba Mods wasini-BAN maana nimepick info fulan kwenye chanzo kisicho rasmi (personal communications) ili kwa wenye taarifa sahihi waniprove wrong ama right, if zitakuwa siyo sahihi basi i/we must take them as illussions and falsifiable allegations, nanukuu aya ndogo ya hyo taarifa......
"Sasa kukawa na plot ingine hapa ya kujengwa ambayo ni hy anayokaa mama...mushi wakat house inajengwa anatumiwa photos za progress
Kurud kumbe hola akauliza mama kamjibu 'nyumba ni ya alvin, ww huna kitu labda vihela vidogo tuuu visenti, fanya ufanyalo'
Ndio akafungua bag akatoa pastola ndio akaanza kuwashoot..." Mwisho wa kunukuu.
Siwezi kuweka habari nzima ilivyo maana kama nilivyotangulia kusema chanzo cha habari sio rasmi (not the one you can bring here as reference)
Na sehem nyingine ya habari hii inamtaja huyo mwanaume Part II anayehusika, sasa kwa 7bu hizi habari sio rasmi naomba nihifadhi hilo jina maana nikiliweka hapa umma wa JF mioyo itafanya paaaaaaaaah!
Note; take this as hearsay and not the proof wadau.
Hata wewe umeremba. Taja jina kama ina uhakika. Tehe tehe tehe.
muhamari gadafi wa libra? Duhu!inawezekana akajipiga hata 3. kuna tukio lilitokea hapo sinza darajani dereva wa daradara alipigwa risasi na mtu wa boda boda lakini alikuwa anacheka na akaendesha gari kama hatua kumi na tano kabla ya kupoteza fahamu na hatimaye kufa: pia angalia picha ya kifa cha muhamari gadafi wa libra jamaa alimpiga risasi ya kwanza upande wa sikio na gadafi akawa anashaanga damu inayomtoka akaongezwa ya pili akawa analalamika mpk amekufa; niliwahi kumuuliza Dr mmoja pale OSHA akaniambia mtu akipata maumivu makubwa huwa hawezi kuyasikia hapo hapo mfano kuvunjika mguu nk no unaweza kuanza kushaaanga kipande cha mkono kumbe ni cha kwako.