ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,555
- 7,995
We jamaa niaje,yaani we huwezi kujipiga risasi mars mbili? Si unajipiga begani ukiona hujafa unajipiga na kichwani unakufa!
Na kweli katika hali ya kawaida mtu hawezi kujipiga risasi mara mbili !!"" kunahitajika kufanyika kitu zaidi ya uchunguzi.