MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,392
- 25,694
Usiende kwao ,endelea na maisha Yako siku akiiwa na uhitaji wa matumizi ya watoto mvute kwenye mamlaka muandikishane Hela ya matunzo basi uwe unatuma Hela alafu endelea kunywa pombe zako TU .
Ukiona hayo huwezi bado unamtaka mrembo wako kama una ushahidi wa hayo uliyosimulia bwana nice guy ,fanya chap kwenye kituo Cha polisi dawati la jinsia kamsemelee ili muwekwe sawa kabla hajakupiga humo ndani .
Pole sana ,ndoa ni Kwa wenye akili kaka na nguvu za kutatuta matatizo ila Mimi na wewe tuendelee kukutana bar tufurahie tu