NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

Ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko wa kidemokrasia ndani ya chadema?


  • Total voters
    56
Wakati wenzako tunasoma civics wewe ulikuwa unakula kamasi eti?
Toka lini kigezo cha kupata kitambulisho cha mpiga kura kinakutaka uwe na kitambulisho kingine ?
Sasa tutakutambuaje kama wewe mwananchi? Kwa lafudhi yako ya kimakonde?
 
hua yanachochewa na viongozi wa kisisa baada ya kujikuta hawako relevant kisiasa wakati huo, sasa kubust status zao kisisa hujikuta wanatumia maandamano na ndio maana hayanaga matokeo kabisaa :NoGodNo:
No, yana impact ila kibongo bongo hayafanikiwi sababu yanabeba agenda za wanasiasa na vyama vyao na sio agenda za wananchi. Chukua muda wako usome maandamano ya Tunisia, Misri nk, hayakuwa ya vyama vya siasa ila ya wananchi. Sasa tbh, me binafsi siwezi kuingia barabarani kutetea agenda za Lissu. No reform blah blah ni agenda ambayo inambeba zaidi Lissu na chama chake, haitupi guarantee kama mambo yatakuwa tofauti Chadema ikishashika nchi.
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema.

Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55,
wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania


Gentleman nashan umepata majibu
 
gentleman,
watia nia wa chadema ikiwa ni pamoja na Tundu Lisu, Sugu, Heche, Aida n.k wamegundua kua agenda hiyo ni useless, nonsense, null and void, na kwahivyo watashiriki kikamilifu uchaguzi mkuu wa october bila mbamaba yoyote,

sifahamu waliopotoshwa watakua kwenye hali gani na watachukua hatua gani baadae dhidi ya hao wapotoshaji :NoGodNo:
first of all im not a gentleman, second, sema ni wewe ndio unaona ni useless usiingize wengine, mbona chawa wa ccm mmechanganyikiwa hivi na mambo ndo kwanza yanaanza? stupid
 
Tunaomba huu uzi upandishe hata wik usomwa na wadau. Asilimia zitaongezeka Tuwaondoe Adm na boss watusaidie kwa hilo
 
CHADEMA kwa sasa wamechanganyikiwa hata wakitembea njiani wanaongea peke yao kama vichaa au wendawazimu kumkumbuka Mheshimiwa Mbowe.
 
first of all im not a gentleman, second, sema ni wewe ndio unaona ni useless usiingize wengine, mbona chawa wa ccm mmechanganyikiwa hivi na mambo ndo kwanza yanaanza? stupid
oh mom,
I'm sorry, and plz relax bas, mbona weo sana 🤣

ila ukweli ndivyo ulivyo katika siasa, ni mchungu sana ila utazoea tu taratibu tukisonga mbele pamoja 🐒
 
CHADEMA kwa sasa wamechanganyikiwa hata wakitembea njiani wanaongea peke yao kama vichaa au wendawazimu kumkumbuka Mheshimiwa Mbowe.

😄 🤣 welcome back

I think chadema wanakumbuka ela za mbowe na sio utawala wake
 
chuki binafsi ni kitu mbaya sana moyoni gentleman,

na shida kubwa ya matatizo ya moyo nchini chanzo ni chuki binafsi.
That is not good thing to entertain at all gentleman,

siasa si ya kuweka kwa roho, inafaa kuishia kwa Lungs tu:NoGodNo:
Hayo maneno yako ya kinafiki ungeanza kuwafundisha wenzio wa ccm ambao wana roho mbaya; wanaua watu na kuhujumu haki za wananchi wanapotaka kuchangia viongozi wanao wataka !
 
ikiwa huna hoja dhidi ya mada tajwa hapo juu, ni vizuri kukaa kimya,

malalamiko binafsi yatafutiwe ufumbuzi wa kibinafsi gentleman, au andikia uzi maalum :NoGodNo:
Wewe kwa nduguzo ccm upo upande gani wa mwk. au upande wa wahuni wa chamani?
 
CCM ndio wamechanganyikiwa, mapandikizi yao ndani ya CDM yanaumbuliwa kila kukicha!

Tundu Lissu tuongoze kwenye mapambano kuifikia nchi ya Ahadi

No Reforms, No Elections!
 
Back
Top Bottom