MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,038
- 2,948
Vyote viende pamoja
Wakati wenzako tunasoma civics wewe ulikuwa unakula kamasi eti?Ningesema nipo upande wa uchaguzi wa amani lakini nimeshuhudia watu wanapewa vitambulisho vya Mpiga Kura wakati hawana hata cheti cha kuzaliwa wala driving licence au identification nyingine ya aina yoyote; imani yangu ilipukutika toka hapo
Kama lengo la maandamano ya amani nikushinikiza Sanduku la kura liheshimiwe, niko na lema na lissu.gentleman,
achilia mbali myukano wa g55 na kamati kuu,
lisu anasema no reforms no elections, kwenye jukwaa hilo hilo Lema anasema yatafanyika maandamano ya amani,
kidemokrasia, ungependa uwe upande gani kati ya pande hizo mbili?![]()
Hakuna namnaVyote viende pamoja
kweli tupu!!! wasaliti wasiungwe mkono👿Hao G55 hawana tofauti na COVID19, sasa nani atawaunga mkono? Labda wake na waume zao
ila CDM kulikuwa na uhuni mwingi wakati wa uongozi wa Mwamba, eti COVID19 wawili ni wake wa viongozi waandamizi wa CDM alafu bado watu wanaulizana barua ya kuwateua waingie Bungeni ilisainiwa na nani!kweli tupu!!! wasaliti wasiungwe mkono👿
hao g55 ni watia nia za uongozi katika uchaguzi mkuu wa october, kitua ambacho lisu, lema na heche pia ni watia nia wa uchaguzi huohuo,kweli tupu!!! wasaliti wasiungwe mkono👿

katiba ya chadema ilisemekana ni mbovu mno kwa mujibu wa Lisu wakati akigombea uenyekiti wa taifa, hivi ilisharekebishwa gentleman, au imekua nzuri baada ya kupata nafasi?ila CDM kulikuwa na uhuni mwingi wakati wa uongozi wa Mwamba, eti COVID19 wawili ni wake wa viongozi waandamizi wa CDM alafu bado watu wanaulizana barua ya kuwateua waingie Bungeni ilisainiwa na nani!
Lissu atarejesha imani ya wananchi kwa CDM

ingawa wanashupaza shingo kama hawataki vile!Hata ccm wanataka time huru uchaguzi ya uchaguzi.
Ujumbe wangu mbona upo wazi? Hujaelewa kipi hapo??pamoja na hayo gentleman,
katika mgawanyiko wa kidemokrasia uliopo ndani ya chadema,
wewe binafsi upo upande wa watia nia wa G55, upande wa no reform no elections ya Lisu, upande maandamano ya amani ya Lema au wewe ni kanyaga twende bora liende?![]()
hua yanachochewa na viongozi wa kisisa baada ya kujikuta hawako relevant kisiasa wakati huo, sasa kubust status zao kisisa hujikuta wanatumia maandamano na ndio maana hayanaga matokeo kabisaaMaandamano kwa bongo bado sana kutokea.

NO REFORM NO ELECTIONKuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema.
Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55,
wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema?![]()
Mungu Ibariki Tanzania
gentleman,NO REFORM NO ELECTION
