NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

Ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko wa kidemokrasia ndani ya chadema?

  • Total voters
    56
ongeza sehemu nyingine kwamba yote ni sahii
Maandamano ya amani nayo yatakuwa yanadai mabadiriko ya sheria na tume ya uchaguzi,
Tumeishaandamana vya kutosha kupitia mitandao imetosha,hoja mezani ni NO REFORMS NO ELECTION
 
gentleman,
ikiwa umefikia kiwango chako cha mwisho cha mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja mahususi mezani,

ni muhimu sana ukakaa kimya na kujifunza kwa wengine, itakusaidia sana kuongeza uelewa na ufahamu wako juu ya mambo haya muhimu ya kisiasa:NoGodNo:
Hoja Gani mahususi unayoweza kuweka Mezani ikajadiliwa na wewe li CCM

Toa upumbavu wako hapa, na limama lenu. Makaburu weusi nyie. Mambo ya Chadema yanakuhusu nini Shetani nyie
 
Soma nyuzi zangu utapata jibu!
Mimi ni Mwananchi mpenda haki siwapendi nyie ccm kwa sababu ya mbambamba zenu.
chuki binafsi ni kitu mbaya sana moyoni gentleman,

na shida kubwa ya matatizo ya moyo nchini chanzo ni chuki binafsi.
That is not good thing to entertain at all gentleman,

siasa si ya kuweka kwa roho, inafaa kuishia kwa Lungs tu:NoGodNo:
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema.

Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55,
wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Nadhan statistics zimekujibu, no reforms no election
 
Unataka ukusanye report uwapelekee wanaokuweka mjini sio?
Sasa ni hivi: Kila mtanzania mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na maigizo mnayoyaita uchaguzi.

Yani refa umtafuta wewe unakokujua, washika vibendera uwaweke wewe,Kamishina wa mchezo umuweke wewe, Kila kitu uandae wewe alafu eti na wewe uingie kushindana na unalaghai watu mshindani wako atapata haki..! Huu ni upuuzi!!! Yani mtu kuwa kiongozi nchi hii mpaka huruma za kiongozi furani na sio kura ya mwananchi??
 
No

No REFORM NO ELECTION
 
pamoja na hayo gentleman,

katika mgawanyiko wa kidemokrasia uliopo ndani ya chadema,
wewe binafsi upo upande wa watia nia wa G55, upande wa no reform no elections ya Lisu, upande maandamano ya amani ya Lema au wewe ni kanyaga twende bora liende? :pedroP:
 
Nadhan statistics zimekujibu, no reforms no election
yaani g55 ya watia nia na maandamano ya amani ya Lema vipuuzwe, right gentleman?

but Lisu ni mtia nia pia, je hayupo G55?:NoGodNo:
 
Kijana jaribu kutwerk Kama Kina sufian labda watu tutakuelewa.
 
yaani g55 ya watia nia na maandamano ya amani ya Lema vipuuzwe, right gentleman?

but Lisu ni mtia nia pia, je hayupo G55?:NoGodNo:
About 80% ya stats zinaelemea no reform no election
YES wengi wape
maandamano mangapi ya amani wamefanya? Kuna changes zilifanyika NO
 
Hoja Gani mahususi unayoweza kuweka Mezani ikajadiliwa na wewe li CCM

Toa upumbavu wako hapa, na limama lenu. Makaburu weusi nyie. Mambo ya Chadema yanakuhusu nini Shetani nyie
Chama cha siasa ni mali ya umma gentleman, au hujui?

waTanzania wanapojadili mambo ya umma, halafu unakuja chuki binafsi zako na mihemko,
hiyo inakua ni useless na completely nonsense gentleman:NoGodNo:
 
Mimi ni mtu pragmatic kusema ukweli hakuna namna ya kuzuia uchaguzi kwa nguvu labda kwa ushawishi wananchi wote wasiende kupiga kura hii nayo ni vigumu kiuhalisia na mazingira yalivyo, Lissu atapoteza muda kwa watanzania hawakuwa tayari kupambana na dola nashauri Wafanye review ya mkakati wao kwa kuangalia uhalisia wa mambo. wananchi watajaa kwenye mikutano yao kwa sasa lakini siku ya uchaguzi polisi wakimwagwa kwelikweli na kisha Lissu Lemma na Heche kuzuiwa majumbani mwao na polisi mpaka kesho yake uchaguzi utafanyika kama kawaida tena soft bila madhara. CCM wanachekelea sana kwa hili,chama cha ACT au Chauma kinakuja kuibuka mdedea baada ya uchaguzi kulegezewa hali ya uchaguzi kwa vile ukiangalia mengine siyo ya kimfumo au kisheria ila ni ya makusudi tu ya wasimamizi yasipofanywa kwa uzalendo au maelekezo maalum, wapinzani wengi mtashinda km ilivyokuwa 2015 mfano kukimbia na masanduku ya kura, kukimbia vituo, uwingi wa polisi vituoni, na mambo mengine ambayo si rafiki na yanabinya uhuru wa mpiga kura nk Haya Ni ya kujadiliana tu na mamlaka kwa msisitizo na nyinyi pia kaeni chini mzungungumze sauti moja mkubaliane juu ya njia sahihi na kama kwenye vikao vyenu no reform no election ndiyo tafsri muliyokubaliana kweli! na ndicho mlichokusudia. hapa kuna kundi la wanaharakati wanaunga mkono no reform no election kwa zuia uchaguzi na kundi la wanasiasa wanaunga mkono no reform no election lakini hatimaye kuzuia vitendo viovu ndani ya uchaguzi wakishiriki hiyo wanaona itakuwa more practical. Wacha tuone
It is never too late in life
 
Familia ya Lissu na Lema lini itatua nchini kuja kushiriki maandamano ya kuzuia uchaguzi?
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema.

Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55,
wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Punguza kiherehere, mambo ya CHADEMA yakuhusu nini?
 
About 80% ya stats zinaelemea no reform no election
YES wengi wape
maandamano mangapi ya amani wamefanya? Kuna changes zilifanyika NO
lets wait until the end of voting exercise gentleman, its too early to confirm the results:NoGodNo:
 
Punguza kiherehere, mambo ya CHADEMA yakuhusu nini?
ni muhimu zaidi upunguze mihemko, ghadhabu, makasiriko na mihemko ikiwa huna hoja , hasa yanapojadiliwa mambo muhimu yanayohusu umma wa waTanzania gentleman:pedroP:
 
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema.

Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55,
wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Attachments

  • images (1)-1.jpeg
    images (1)-1.jpeg
    25.9 KB · Views: 9
  • Screenshot_2024-09-12-15-13-25-78-1.png
    Screenshot_2024-09-12-15-13-25-78-1.png
    1.3 MB · Views: 8
  • 6017471-46d1e509592bd73d8313972ca4ec2707.mp4
    805.6 KB
Hao G55 hawana tofauti na COVID19, sasa nani atawaunga mkono? Labda wake na waume zao
Hii ndo shida yenu,mnaotofautiana nao mawazo mnawaona ni wasaliti,then mnajiita chama Cha demokrasia,
demokrasia ipi na wana demokrasia wandani mnawaona wahaini
 
wewe upo chadema upande gani gentleman?

chadema ya g55 ya watia nia?
chadema ya no reform no electionsa ya Lisu? au
chadema ya maandamano ya amani ya Lema?:NoGodNo:
chadema ni moja, hayo mafungu matatu ni zuga tu kuwachanganya ccm wasijue which is which
 
Back
Top Bottom