Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,825
Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema.
Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55,
wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema?
Mungu Ibariki Tanzania
Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55,
wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema?
Mungu Ibariki Tanzania