Hollyway
Member
- Oct 7, 2022
- 11
- 23
Pole
Shukran
Pole
Tupo wachache Sana na tunaongea wivu balaa wenye group hili
Group hili kwa kuumwa no balaaa
O+Wakuu hebu tujibu hili swali,
Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu?
Kama unajua litaje.
Leo nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa hili jambo dogo na muhimu kwenye maisha yetu.
Kuangalia (kucheck) ni gharama ndogo sana.
Btw who is your blood group partner here JF.
Kucheki blood group kwa maabara inaweza ku range 5k to 10k.
Kujua Kundi lako ni muhimu hata kwenye mambo ya uzazi.(I will explain more)
Na kuchangiwa damu.
Ukijikuta upo humo omba uhamisho.Watu wanahama kutoka Ulaya wanahamia Afrika sembuse ki-group tu cha damu?Hebu kesho nikapime nijithibitishie kweli nipo huko kwenu..
Ila nina dalili zote za kuwa group hilo..😂🤣
Nitumie link nihamie wenye group lenu!!🤣Ukijikuta upo humo omba uhamisho.Watu wanahama kutoka Ulaya wanahamia Afrika sembuse ki-group tu cha damu?
Wadau Kuna Artical nimesoma wanasifi Asana Group AB+.Wakuu hebu tujibu hili swali,
Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu?
Kama unajua litaje.
Leo nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa hili jambo dogo na muhimu kwenye maisha yetu.
Kuangalia (kucheck) ni gharama ndogo sana.
Btw who is your blood group partner here JF.
Kucheki blood group kwa maabara inaweza ku range 5k to 10k.
Kujua Kundi lako ni muhimu hata kwenye mambo ya uzazi.(I will explain more)
Na kuchangiwa damu.
Nashukuru kwamba mimi na mpenzi wangu tunajua makundi yetu za damu, na jana tu ndiyo tulijadili hili suala na umuhimu wake.Wakuu hebu tujibu hili swali,
Ni wangapi kati yetu wanajua wako kundi lipi la Damu?
Kama unajua litaje.
Leo nimegundua watu wengi sana hawajui kabisa hili jambo dogo na muhimu kwenye maisha yetu.
Kuangalia (kucheck) ni gharama ndogo sana.
Btw who is your blood group partner here JF.
Kucheki blood group kwa maabara inaweza ku range 5k to 10k.
Kujua Kundi lako ni muhimu hata kwenye mambo ya uzazi.(I will explain more)
Na kuchangiwa damu.
O negative unalijua mzee au umeandika tu..Mie ni 0- sijui.. aahh, nishasahu, toka miaka ya 2000+ huko
O negative ndo ambaye hapokei kundi lolote la damu zaidi ya o negative mwenzako ila O posituve anapokeaWatu wa group O+na - ,tunampa yyt damu ila sie hatupokei Kwa yyt unless ana group km Hilo!
Faida mojawapo hatuambukizwi pia magonjwa kirahisi
Kwamba hiyo ndio inafanya nisiwe O- ama?O negative unalijua mzee au umeandika tu..
Hili kundi ni hatari sana na risk kubwa .
Maana unauwezo wa kutoa damu kwenda kwa O negative mwenzako .
Na unapokea damu kutoka kwa O negative tu.
Mtaani kuna uvumi kuwa hawa group type hii hata ukimwi hawapati hivyo wao si lazima kutumia ndom kwenye mechi za ugenini..Km Mimi
We unaweza mpa damu mtu yyt
Lkn huwezi pokea Kwa yyt mpk awe na group km lako
Hatimaye
Ngoma lazima upimwe mzee ndipo mengine yaendeleeMwenzio nilijua baada ya kumkuta mzee mmoja na mke wake hospital peke yao hawana mtu wa kumtolea damu na hospital damu wameishiwa.
Huruma ikaniingia walivyosema yupo group O na mpk apatikane O mwenzake na mke wake A
Nikamwambia Dr niangalie km O namchangia, ndio kupima kitu kikakubali. Basi nikamchangia yule mzee mpk leo nimekuwa km mtoto wao.
Niliogopa walivyosema tunakupima na ngoma
wazinzi utawajua tuNgoma lazima, unataka umpe mgonjwa wadudu we vipi?? 😂😂😂😂
Niliwamind walinipima HIV bila kuniambia!!
Walivyoona niko okay ndo wakanichukua damu, wangesema kabla ningekula njoro mbona 🤣🤣🤣
Same here.Mimi ni AB