Ndugai atangazwe adui wa Taifa?

Ww unadhani mawazo yako unaweza kuwaingiza watu wenye akili zao timamu, washawishi punguani wenzako na tukikufatilia ww hata familia yako unaichonganisha mchonganishi mkubwa ww
 
Pamoja na kujaribu kupotosha, mngonjwa anatakiwa akatibiwe haraka.
 
Waombe na ridhaa ya mahakama ili Spika achunguzwe afya yake ya akili na kimwili vizuri .
Kuanzia wiki ijayo pale tutamuweka Dr Tulia ,ili roho zenu zitulie
 
Bunge lisipoonyeshwa live,mnalalamika wakati TBC ndo mwonyeshaji Mara hatuanglii TBC bavicha bwana
 
Pamoja na kujaribu kupotosha, mngonjwa anatakiwa akatibiwe haraka.
Huna hoja wewe Mbuni, Nakukumbusha tu mwaka 2015 baadhi ya WanaSIHASA waliponda Afya ya Lowassa eti mgonjwa akatibiwe na maneno ya kejeli mengi kwa kujiona wao wana afya zilizo bora duniani. Hata hivyo Mwenyezi mungu ni Mkubwa, tunashuhudia sasa hivi Mhe Lowassa anahudhuria misiba ya baadhi ya Wanafiki waliomkejeli na kumuona atakufa wakati wowote.
Narudi kwako Mbuni Jike., je wewe umecheki afya yako na kabla ya kumnyooshea kidole mwenzako ?
 
Ww unadhani mawazo yako unaweza kuwaingiza watu wenye akili zao timamu, washawishi punguani wenzako na tukikufatilia ww hata familia yako unaichonganisha mchonganishi mkubwa ww
Mbona umetumia mabavu sana kwa hoja laini tu ?
 
Lakini mleta hoja hakugusia afya ya mwili .
 
Jamani maendeleo yanakwamishwa kwa kukosa kuangalia vipindi vya bunge?unataka tuangalia mipasho,matusi ya akina Bulaya ,Halima na timu ya wabunge wa chadema ndio roho yako iwe kwatu.Maendeleo hayaji kwa kuangalia vipindi vya bunge nyie wana Chadema,maendeleo yanaletwa kwa kufanya kazi,mnakoelekea siko mumepoteza dira.
 
Umeelewa mada kweli mjomba ?
 
Mtu anahitajiwa kutibiwa afya yake ya akili wengine mnampa wadhifa
Ipo siku atamtwanga mbunge na rungu la spika.
 
Huyu na anakosa la jaribio la MAUAJI alimpiga mgombea mwenzake na rungu kichwani akampotezea network mwenzake hadi leo sijui kama net inasoma huyo mshikaji,japo nilisikia alipoozwa kwa kupewa ukada nafasi ya uDC.

Hapo ndipo utaamini CCM na watu wake wote ni adui wa Watz.na siyo Ndugai TU wote hawafai.
 
Nimejikuta nacheka tu !
 
Hahahahaha Dr Tulia Ackson anawapenda sana
 
Haijawahi kutokea mtu individual akatangazwa kuwa adui wa Taifa, mimi ninachokijua miongoni mwa maadui wa Taifa ni ufisadi ambao sasa hivi Chadema wanaukumbatia na kuutetea kama Sera ya Chama. Yaani kwa slogan hii " MAFISADI KWANZA, UTAIFA BAADAE".
Hivi ile mahakama ipo???
 
Kwani hamjui kile kiti ni adui namba moja wa demokrasia nchini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…