Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

Kwanza huyo Anna Mugwira alimnyang'anya tonge mwigamba , ilibaki nusu saa mwigamba awe mgombea lakini kilichotokea kila mtu anafahamu , manung'uniko ya mwigamba bado yanaishi .

Alimnyang'anya kivipi? Hilo si chaguo la Zito.baada ya Kitila kusepa?
 
Mimi nimewapa "suluhisho" muuweni kama Chacha Wangwe ili mpumuwe.Maana ni kama HAMLALI JUU YA HUYU MTU.CHUKI ZIMEVUKA KIKOMO....
Huyo Zito amekuwa Mungu siku hizi, yaani hata aki kosolewa mnasema ni chuki!? Ukweli ni kuwa hesabu za Zitto zilienda vibaya na kazi kubwa aliyo ifanya ya kuuzindua Umma wa Tanzania na Umaarufu wake vili mpumbaza.
 
Kwanza huyo Anna Mugwira alimnyang'anya tonge mwigamba , ilibaki nusu saa mwigamba awe mgombea lakini kilichotokea kila mtu anafahamu , manung'uniko ya mwigamba bado yanaishi .
Mwigamba awe rais? Jamani mko serious? Mwigamba alivyo kiazi namna ile agombee urais?? Mweeeh!!!
 
Alimnyang'anya kivipi? Hilo si chaguo la Zito.baada ya Kitila kusepa?

Hadithi ni ndefu sana lakini hebu rudi mpaka siku mugwira anatangazwa utagundua kwamba mwigamba ndiye alikuwa anatangazwa kugombea humu jf na mwl kaijage , jf ni mashahidi , niko tayari kukosolewa kama nimekosea .
 
Hi!

Katika ufunguzi wa kampeni za chama cha ACT wazalendo, mgombea urais kupitia chama hicho mama Anna Mghwira alihaidi kuwa endapo atashinda basi atamteua mh. Zitto kuwa waziri mkuu wa JMT.

Ni wazi kuwa uwezekano wa chama hicho kushinda ni mdogo sana kwani chama icho akionyeshi dalili yoyote ya kushinda huku tafiti zisizoaminika sana za TWAWEZA zikizidi kukididimiza.

Hivyo basi ndoto za Zitto ni za asubuhi kweupe na bila shaka hazitatimia....

Fojuman
Ushauri wangu kwa Zitto ni kua kama ndoto zake hazijatimia basi arudi tena kitandani akalale, anaweza kuota tena ndoto zikatimia
 
Last edited by a moderator:
..sithani kama zitto hana akili kiasi hicho,alijua na anajua kuwa hatakuwa waziri mkuu,.ila mpaka uchaguzi ufanyike umaarufu wa chama chake utaongezeka maradufu,na hili ndo lilikuwa LENGO lake kubwa...na atafanikiwa
 
Ila kafanikiwa sana kujitangaza kwa ile mbinu ya Kila picha ya mgombea ubunge lazima kuwe na picha yake badala ya yule mgombea urais
 
Zitto asilaumiwe magamba yalimdanganya kwa kutumia pesa ila yeye Kama yeye ni mwanasiasa mzuri sana na mwenye uelewa wa juu kabisa
 
Zitto asilaumiwe magamba yalimdanganya kwa kutumia pesa ila yeye Kama yeye ni mwanasiasa mzuri sana na mwenye uelewa wa juu kabisa

Mbowe aliwaaminisha hivyo ili kufanikisha biashara yake.
Zitto ni makini na Mungu amsaidie
 
Attachments

  • 1444870868320.jpg
    1444870868320.jpg
    41.5 KB · Views: 208
Hi!

Katika ufunguzi wa kampeni za chama cha ACT wazalendo, mgombea urais kupitia chama hicho mama Anna Mghwira alihaidi kuwa endapo atashinda basi atamteua mh. Zitto kuwa waziri mkuu wa JMT.

Ni wazi kuwa uwezekano wa chama hicho kushinda ni mdogo sana kwani chama icho akionyeshi dalili yoyote ya kushinda huku tafiti zisizoaminika sana za TWAWEZA zikizidi kukididimiza.

Hivyo basi ndoto za Zitto ni za asubuhi kweupe na bila shaka hazitatimia....

Fojuman

Nini kushinda Urais yeye kushinda ubunge hali ni tete!kupiga kampeni misikitini kisa alisponsor maujaji,kutoa kauli mbaya kwa mapadre airport kisa amekodi ndege kuleta wasanii kigoma siku ya ufunguzi wa kampeni yake. Na ikitokea akashindwa ubunge ndiyo itakuwa mwisho!
 
Nilimtoa maana pale nilipomwona Zitto akichangia hoja ya mafuta ya taa waongeze bei ili kuzuia kuchakachua nikapiga picha ya anakotoka kigoma na Tanzania vijijin kwa ujumla sikuamini kupata kauli kama iyo kutoka kwake..
 
Hi!

Katika ufunguzi wa kampeni za chama cha ACT wazalendo, mgombea urais kupitia chama hicho mama Anna Mghwira alihaidi kuwa endapo atashinda basi atamteua mh. Zitto kuwa waziri mkuu wa JMT.

Hivyo basi ndoto za Zitto ni za asubuhi kweupe na bila shaka hazitatimia....

Fojuman

Mkuu rudi chuo cha siasa na saikolojia ukasome! ZZK ni long term planner wala hakufikilia
 
Back
Top Bottom