Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

Zito ni miongoni mwa viongozi wakubwa watarajiwa wa nchi hii na uwezo wakisiasa anao ivo ni taratibu tu ipo siku mtamkubali na walio wengi mtamuitaji katika serekali ya nchi hii
 
Zito ni miongoni mwa viongozi wakubwa watarajiwa wa nchi hii na uwezo wakisiasa anao ivo ni taratibu tu ipo siku mtamkubali na walio wengi mtamuitaji katika serekali ya nchi hii

hawalioni hilo wanataka watu wa aina ya Lusinde bungeni!!
 
Ataendelea kuota sana.

Watoto wa mjini wanasema aliingia chaka😅
 
Kwanza huyo Anna Mugwira alimnyang'anya tonge mwigamba , ilibaki nusu saa mwigamba awe mgombea lakini kilichotokea kila mtu anafahamu , manung'uniko ya mwigamba bado yanaishi .

Hahaha wasaliti katika ubora wao,wachawasalitiane wenyewe
 
Zito ni miongoni mwa viongozi wakubwa watarajiwa wa nchi hii na uwezo wakisiasa anao ivo ni taratibu tu ipo siku mtamkubali na walio wengi mtamuitaji katika serekali ya nchi hii

Hamna lolote keshafikia mwisho
 
Hi!

Katika ufunguzi wa kampeni za chama cha ACT wazalendo, mgombea uraisi kupitia chama hicho mama Anna Mghwira alihaidi kuwa endapo atashinda basi atamteua mh. Zitto kuwa waziri mkuu wa JMT.

Ni wazi kuwa uwezekano wa chama hicho kushinda ni mdogo sana kwani chama icho akionyeshi dalili yoyote ya kushinda uku tafiti zisizoaminika sana za TWAWEZA zikizidi kukididimiza.

Hivyo basi ndoto za Zitto ni za asubuhi kweupe na bila shaka hazitatimia....

Fojuman

Huyu ZZK ni ayattulah msaliti natamani asirudi bungeni.Hata kigoma saivi UKAWA na CCM Wameungana kumuangusha na wanatumia mpaka hoja ya dini.Sisi TUNATAKA KUPELEKA BUNGENI MAJEMBE kama KINGWENDU,SUGU,LEMA ili Taifa letu LIWE KUBWA KIUCHUMI KAMA CHINA na MAREKANI.Upawa oyee.Lawassaaa...
 
Maana umejitoa ufaham
 
Attachments

  • 1444799834440.jpg
    1444799834440.jpg
    48 KB · Views: 585
Kwanza huyo Anna Mugwira alimnyang'anya tonge mwigamba , ilibaki nusu saa mwigamba awe mgombea lakini kilichotokea kila mtu anafahamu , manung'uniko ya mwigamba bado yanaishi .

Huvu huyu Mwigamba yupo wapi kwa sasa?
 
Huyu ZZK ni ayattulah msaliti natamani asirudi bungeni.Hata kigoma saivi UKAWA na CCM Wameungana kumuangusha na wanatumia mpaka hoja ya dini.Sisi TUNATAKA KUPELEKA BUNGENI MAJEMBE kama KINGWENDU,SUGU,LEMA ili Taifa letu LIWE KUBWA KIUCHUMI KAMA CHINA na MAREKANI.Upawa oyee.Lawassaaa...

Ivi wewe kwa akili yako hao ulio wataja wanaweza kuibadili Tanzania kuwa kama china na usa!! Jamani hata kama una mchikia mtu embu Jaribu kuandika ukweli hata mmoja basi, ngoja nikuambie kitu kimoja kinacho inuwa taifa la china leo" kuna sheria moja ya kulinda mali na uchumi wa china nikwamba ukila rushwa au kutowa rushwo basi una nyongwa" sasa angalia kati ya hao watu wako ulio wasifu Kama hiyo sheria ingekuwa hapa Tanzania je nani angekuwa hai hadi leo? Tumieni akili mnapo shabikia chama sio kuponda watu muimu wa Taifa mna sifu wazuia Maendelea ya nchi yetu kwakuwa wapo chama unacho shabikia kwa upendeleo wako!!
 
Hamna lolote keshafikia mwisho

Kwani amekufa? Najua kufikia mwisho ni kufa tu. Mbowe ni mtu wakwanza kupata kura ndogo wakati ana gombea uraisi wa 2005 katika wote walio kwisha gombea chadema ila leo hii yupo kisiasa. Sasa wewe hayo ya zito kafika mwisho! Yametoka wapi au mnapanga kumuondoa duniani?
 
Kwanza huyo Anna Mugwira alimnyang'anya tonge mwigamba , ilibaki nusu saa mwigamba awe mgombea lakini kilichotokea kila mtu anafahamu , manung'uniko ya mwigamba bado yanaishi .

Meaning'union ya dr slaa bado yanamtesa mgombea wa cdm lowasa hadi anawanadi wagombea wa ccm jukwaani tena jukwa la cdm

Nipeni wabunge wengi wa ccm
 
Maskini ZZK ndio anapotea mazima hivyo ktk uso wa siasa nchini kwani baada ya October 25 jamaa atasahaulika
 
Mimi nimewapa "suluhisho" muuweni kama Chacha Wangwe ili mpumuwe.Maana ni kama HAMLALI JUU YA HUYU MTU.CHUKI ZIMEVUKA KIKOMO....

Hili lafaa ungemwambia Magufuli alitumie kama moja ya sera yake. Asisahau na mtikila pia na ongeeni na dr. Slaa awape ushahidi.
 
siyo akikosa ni anapokosa ubunge maana ni dhahiri hata ubunge hapati panya huyu

Kama zito ni panya kwa akili yako wewe waweza kuwa Nani? Chaguwa hapa, sisimizi, nzi, ndorobo, kifyondo, na kama huja chaguwa kitu basi na yeye sio panya nyie wote ni Binadamu

Ongeeni na adabu pia kuweni na heshima ili mueshimiwe pia
 
Wengi tumeyafahamu matatizo ya Zitto na Chadema wakati yamefikia kwenye peak lakini tumekuwa mafundi sana wa kumsema vibaya.

Mimi naamini kuna mambo mabaya ameyafanya huyu bro ili kujilinda baada ya kubanwa sana huko alikokuwa. Ikumbukwe kuwa yeye mwenyewe amesha admit kuwa kuna mambo alikosea kama binadamu, lakini inaonekana kama makosa hayo yanatumika sana dhidi yake.

Mwisho wa siku jamaa ni fighter kama tunamshangilia Lowassa hivi sasa
 
Huyu ZZK ni ayattulah msaliti natamani asirudi bungeni.Hata kigoma saivi UKAWA na CCM Wameungana kumuangusha na wanatumia mpaka hoja ya dini.Sisi TUNATAKA KUPELEKA BUNGENI MAJEMBE kama KINGWENDU,SUGU,LEMA ili Taifa letu LIWE KUBWA KIUCHUMI KAMA CHINA na MAREKANI.Upawa oyee.Lawassaaa...

Pole kwa maumivu makali ya ukawa
 
Back
Top Bottom