Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

Sasa hizo ahadi za Mama Anna zinageukaje kuwa ndoto za Zitto zilizofikia status ya kuwa hatarini kutimia?Zitto aliwahi kuutamani lini hadharani uwaziri mkuu? Maana sasa hapa ni JF huwezi kuleta mada tukachangia bila kuwa objective.

Kwa akili yako unadhan ye hapendi kuwa waziri mkuu" kipindi mama Anna anatamka ayo maneno Zitto aliamka na kutoa tabasam kali sana...
 
Ivi wewe kwa akili yako hao ulio wataja wanaweza kuibadili Tanzania kuwa kama china na usa!! Jamani hata kama una mchikia mtu embu Jaribu kuandika ukweli hata mmoja basi, ngoja nikuambie kitu kimoja kinacho inuwa taifa la china leo" kuna sheria moja ya kulinda mali na uchumi wa china nikwamba ukila rushwa au kutowa rushwo basi una nyongwa" sasa angalia kati ya hao watu wako ulio wasifu Kama hiyo sheria ingekuwa hapa Tanzania je nani angekuwa hai hadi leo? Tumieni akili mnapo shabikia chama sio kuponda watu muimu wa Taifa mna sifu wazuia Maendelea ya nchi yetu kwakuwa wapo chama unacho shabikia kwa upendeleo wako!!

Nisome nini?
 
Ala haulaaaa ZZK yule bwana ambae kesha kuwa mpinzani mkuu JMT au mwingine mi nasubiri mbio zake za kuielekea ikulu mnamo 2025/2030's
 
Jana nimeona kapost picha yake kapiga na Lowassa. Chadema inakufa ACT ndio siwaelewi kabisa.
 
sasa huyo mama ngwira angempa mhuni asiye kuwa na mke uwaziri mkuu? alafu huyu mama mbona hatumwoni mumewe kwenye kampeni kama ilivyo kwa wagombea wanaume wakiambatana na wake zao? kuna hatari nchi hii siku moja kuongozwa na mhuni awe mwanaume au mwanamke
Mkuu itakuwa una matani na Magufuri,
 
sasa huyo mama ngwira angempa mhuni asiye kuwa na mke uwaziri mkuu? alafu huyu mama mbona hatumwoni mumewe kwenye kampeni kama ilivyo kwa wagombea wanaume wakiambatana na wake zao? kuna hatari nchi hii siku moja kuongozwa na mhuni awe mwanaume au mwanamke

Na kama ni mjane akamfufue tena?
 
Kapishana njiani na matunda ya alichokuwa akikipigania mwanzo kabla hajageuka bidhaa! Pole yake!
 
sasa huyo mama ngwira angempa mhuni asiye kuwa na mke uwaziri mkuu? alafu huyu mama mbona hatumwoni mumewe kwenye kampeni kama ilivyo kwa wagombea wanaume wakiambatana na wake zao? kuna hatari nchi hii siku moja kuongozwa na mhuni awe mwanaume au mwanamke

Hivi mtu asiyekuwa na mume au mke ni muhuni? Hebu tafakari upya kauli halafu nijibu nikujibu.
 
Hi!

Katika ufunguzi wa kampeni za chama cha ACT wazalendo, mgombea urais kupitia chama hicho mama Anna Mghwira alihaidi kuwa endapo atashinda basi atamteua mh. Zitto kuwa waziri mkuu wa JMT.

Ni wazi kuwa uwezekano wa chama hicho kushinda ni mdogo sana kwani chama icho akionyeshi dalili yoyote ya kushinda huku tafiti zisizoaminika sana za TWAWEZA zikizidi kukididimiza.

Hivyo basi ndoto za Zitto ni za asubuhi kweiupe na bila shaka hazitatimia....

Fojuman
kwani azimio la tabora linasemaje
 
Hivi anayeota ndoto hapa ni nani, ni wewe au ni Zitto? kwani katika maelezo yako hapo juu hamna sehemu inayoonesha kuhusika kwa Zitto na ndoto
 
Back
Top Bottom