Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2014
Posts
657
Reaction score
548
Hi!

Katika ufunguzi wa kampeni za chama cha ACT wazalendo, mgombea urais kupitia chama hicho mama Anna Mghwira alihaidi kuwa endapo atashinda basi atamteua mh. Zitto kuwa waziri mkuu wa JMT.

Ni wazi kuwa uwezekano wa chama hicho kushinda ni mdogo sana kwani chama icho akionyeshi dalili yoyote ya kushinda huku tafiti zisizoaminika sana za TWAWEZA zikizidi kukididimiza.

Hivyo basi ndoto za Zitto ni za asubuhi kweupe na bila shaka hazitatimia....

Fojuman
 
Hi

Katika ufunguzi wa kampeni za chama cha ACT wazalendo, mgombea uraisi kupitia chama hicho mama Anna Mghwira alihaidi kuwa endapo atashinda basi atamteua mh. Zitto kuwa waziri mkuu wa JMT.

Ni wazi kuwa uwezekano wa chama hicho kushinda ni mdogo sana kwani chama icho akionyeshi dalili yoyote ya kushinda uku tafiti zisizoaminika sana za twaweza zikizidi kukididimiza.

Ivyo basi ndoto za Zito ni za asubuhi kweupe na bila shaka hazitatimia....

Fojuman

Kila jambo na muda wake. Ni dhahiri ya kwamba ZZK kwa sasa bado.
 
Mimi nimewapa "suluhisho" muuweni kama Chacha Wangwe ili mpumuwe.Maana ni kama HAMLALI JUU YA HUYU MTU.CHUKI ZIMEVUKA KIKOMO....

Eti JF tuna watu wenye akili kama hizi.
Ptuuuuuuuuuu
 
Kwanza huyo Anna Mugwira alimnyang'anya tonge mwigamba , ilibaki nusu saa mwigamba awe mgombea lakini kilichotokea kila mtu anafahamu , manung'uniko ya mwigamba bado yanaishi .
 
Hi!

Katika ufunguzi wa kampeni za chama cha ACT wazalendo, mgombea uraisi kupitia chama hicho mama Anna Mghwira alihaidi kuwa endapo atashinda basi atamteua mh. Zitto kuwa waziri mkuu wa JMT.

Ni wazi kuwa uwezekano wa chama hicho kushinda ni mdogo sana kwani chama icho akionyeshi dalili yoyote ya kushinda uku tafiti zisizoaminika sana za TWAWEZA zikizidi kukididimiza.

Hivyo basi ndoto za Zitto ni za asubuhi kweupe na bila shaka hazitatimia....

Fojuman

Sasa hizo ahadi za Mama Anna zinageukaje kuwa ndoto za Zitto zilizofikia status ya kuwa hatarini kutimia?Zitto aliwahi kuutamani lini hadharani uwaziri mkuu? Maana sasa hapa ni JF huwezi kuleta mada tukachangia bila kuwa objective.
 
He is still young, bado anaweza kufanya mengi akiwa na malengo stahiki, namkubali ila ndo hivo kuna wakati a nani bore.
 
Namwombea ashinde ubunge tuu uchaguzi huu, bado Tanzania inamhitaji.
 
ZZK is already an 'antique' in Tanzanian politics. Ali mis calculate hatima yake kisiasa kwa maslahi madogo sana.

seriously? weka akiba ya maneno mkuu....muda si mrefu utasikia,nitakukumbusha
 
sasa huyo mama ngwira angempa mhuni asiye kuwa na mke uwaziri mkuu? alafu huyu mama mbona hatumwoni mumewe kwenye kampeni kama ilivyo kwa wagombea wanaume wakiambatana na wake zao? kuna hatari nchi hii siku moja kuongozwa na mhuni awe mwanaume au mwanamke
 
Hi!

Katika ufunguzi wa kampeni za chama cha ACT wazalendo, mgombea uraisi kupitia chama hicho mama Anna Mghwira alihaidi kuwa endapo atashinda basi atamteua mh. Zitto kuwa waziri mkuu wa JMT.

Ni wazi kuwa uwezekano wa chama hicho kushinda ni mdogo sana kwani chama icho akionyeshi dalili yoyote ya kushinda uku tafiti zisizoaminika sana za TWAWEZA zikizidi kukididimiza.

Hivyo basi ndoto za Zitto ni za asubuhi kweupe na bila shaka hazitatimia....

Fojuman

ulichoandika kina kuwaje ndoto ya zitto? kama aliyesema ni huyo mama??

yaani kwa akili zako timamu unaamini kabisa Zitto aliamini anashinda?

lengo la kumsimamisha mgombea ni kukitangaza chama, vikitajwa vyama utasikia CCM,UKAWA na ACT na hili ndio lengo lake

pole mkuu, jipange
 
Back
Top Bottom