Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

Ndoto ya Zitto Kabwe mashakani kutimia

sasa huyo mama ngwira angempa mhuni asiye kuwa na mke uwaziri mkuu? alafu huyu mama mbona hatumwoni mumewe kwenye kampeni kama ilivyo kwa wagombea wanaume wakiambatana na wake zao? kuna hatari nchi hii siku moja kuongozwa na mhuni awe mwanaume au mwanamke

Jifunze kuheshim..yule ni kama mama yako, wewe kama mume wa mama ako bado yupo hai mshukuru Mungu
 
ulichoandika kina kuwaje ndoto ya zitto? kama aliyesema ni huyo mama??

yaani kwa akili zako timamu unaamini kabisa Zitto aliamini anashinda?

lengo la kumsimamisha mgombea ni kukitangaza chama, vikitajwa vyama utasikia CCM,UKAWA na ACT na hili ndio lengo lake

pole mkuu, jipange

Lol..aliona akileta hoja yake bila kutaja jina la zitto itakosa wachangiaji
 
Jifunze kuheshim..yule ni kama mama yako, wewe kama mume wa mama ako bado yupo hai mshukuru Mungu

hiyo sio sababu kwa hiyo hata mwanaume mjane anaruhusiwa kugombea urais? huko ikulu si kutakua kama kona baa sasa
 
Hivi mtu asiyekuwa na mume au mke ni muhuni? Hebu tafakari upya kauli halafu nijibu nikujibu.

ukivuka 30 hujaoa wewe ni mhuni tu kwa sababu unakwepa majukumu utawezaje kuongoza watu wenye familia zao ingali wewe hata mbwa kumtunza huwezi?
 
Hapa vipi?
 

Attachments

  • 1444905544790.jpg
    1444905544790.jpg
    47 KB · Views: 362
Back
Top Bottom