Ndoto nyevu yenye utata, na damu halisi

Ndoto nyevu yenye utata, na damu halisi

Huna yule rafiki mnaeendana ujinga?
Lazima mfanane.

Anavokusimulia sio kwa kuongea, bali ni kama anakizoa kilichomsibu anakuwekea kichwani.

Huyu ni rafiki kama ndugu. Ujinga wote ninaofanyaga hakuna asichokijua, na yeye ujinga wake wote lazima aniambie. Yaani huyu jamaa hata siku ikitokea nikawa raisi hawezi niheshimu. Tunaufala mwingi sana. ,😂
Ahahahah...mimi kaka ako sinaga ujinga ujinga nina mazonge mazonge tu nayo siambiagi mtu. Kama CIA vile nikikueleza kitu ambacho kwako uaona siri basi ujie ishapita miaka 10 so na declassify tu operations ambazo hazina madhara 😂
 
Toa habari kwa wakati upate habari kaka. 😄
Ninaamini wale madereva wakigonga raia wanakimbilia polisi kujisalimisha kuwa "Nimeua", bado wapo karne hii. Sasa yakupasa uwe hao.
 
Toa habari kwa wakati upate habari kaka. 😄
Ninaamini wale madereva wakigonga raia wanakimbilia polisi kujisalimisha kuwa "Nimeua", bado wapo karne hii. Sasa yakupasa uwe hao.
Shida inakuja mimi sina haja na habar za mtu. Kila mtu abaki na za kwake. Usinipe zako ukitaraji nikupe zangu
 
Shida inakuja mimi sina haja na habar za mtu. Kila mtu abaki na za kwake. Usinipe zako ukitaraji nikupe zangu
Ni sawa kaka, kuna zile habari nyeti hizo huwa hazitoki kabisa. 😀
Hata kama akiwa ni mtu unamuamini kiasi gani.

Ilinikutaga siku moja nilikuwa na rafiki ambaye alikuwa amezoea kamsemo ka "Hata fulani mbona anajua".
Ukatokea msala rafiki yangu wakamuweka selo, kwenye kujitetea akalopoka "hata fulani mbona anajua" ukizingatia nilikuwa kwenye ofisi iliyomuweka jamaa selo. Ilikuwa patashika. Kuna watu hawawezi kujitetea bila kuwahusisha watu wengine. 😂
 
Back
Top Bottom