Ndoto inayowaogopesha CHADEMA usiku na mchana

Hehehhee Zitto alikua machachari ila kusema aliwatisha hamna kitu. Mbona alipojitoa bado Lowassa na lissu walizoa kura nyingi za urais kuliko hata mgombea wa Act huko kigoma. Pia chadema na ACT walipata idadi sawa ya wabunge kigoma!!

Zitto lazima afahamu huwezi shindana na taasisi na umaarufu wake ulibebwa na chadema sio yeye kama yeye. Hata Mdee akishaondoka chadema hakuna atakayekua na habari naye kwani Dr Slaa ilikuaje? Alizoa kura million 2+ ila alipojiondoa tu watu wakamsahau.

So zitto aache kujipa umuhimu ambao hakua nao, angebaki angeshakua Katibu mkuu na Uenyekiti angeachiwa mwaka huu sema haraka zake zimemcost. Ajifunze kwa Mnyika na lissu wamekua patient sana na sasa wamekua cream ya chadema.
Kwa taarifa yako tu chadema ni wasindikizaji kwenye siasa za nchi hii, nyie vilaza mnatumiwa na mzee mbowe na genge lake ambao nia yao kuu ni kuwa wabunge (ajira)
 
Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto.

Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"

Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?
ZITTO ALIFUKUZWA BAADA YA USALITI WAKE KUBAINIKI MPAKA MGAO WA FEDHA ALIZOKUWA ANAPEWA NA TISS KUBAINIKI ASIDANGAYE WATU
 
Kama ni wasindikizaji mnaogopa nini kuweka tume huru ili tuwasindikize vizuri?
 
Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto.

Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"

Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?
Hapo umesema amewatisha wenye Mamlaka makubwa kwamba anawatisha CCM?? Kweli Zito ndo awatishe.
 
Wanachadema wana hatred (chuki) kali sana dhidi ya Zitto.

Kwao Zitto ni Mbaya kuliko Mashinji, Silinde, Mdee, Slaa, Mwita, Katambi, Peneza , Lijualikali na viongozi wa ngazi zote za Chadema waliounga mkono Juhudi na kwenda CCM
 
Kama humjui Zitto utapata tabu sana ! uliona wapi mpinzani anabadilishana jimbo na mwanaccm ? Zitto alibadilishana Jimbo na Peter Serukamba , sijui kama unalijua hili
Na pia kwenye jimbo lake Kikwete hakupita kumkampenia mgombea wa CCM kwenye uchaguzi wa mwaka 2010.Alipitiliza hadi Kigoma mjini ambako alimkampenia mgombea wa ubunge kupitia CCM.Kwa hiyo Zito akapita kirahisi kabisa.
 
Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"

Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?
Hii ni propaganda, kama ilivyo kwa propaganda nyingine.

Tusikubali kutumika na kutolewa kwenye hoja za msingi kama Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya
 
ZITTO ALIFUKUZWA BAADA YA USALITI WAKE KUBAINIKI MPAKA MGAO WA FEDHA ALIZOKUWA ANAPEWA NA TISS KUBAINIKI ASIDANGAYE WATU
Ccc ilimtumia sana Zitto kama “ snitch” wao alipokuwa Chadema na wao huwaita watu wa namna hiyo kwa jina la “ Kikulacho”!
 
ACT washukuru mserereko walioupata kwa wanachama wa CUF ya Maalim SEif, otherwise wangekuwa sawa na APPT Maendeleo au CHAUMA
 
Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto.

Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"

Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?
Mbona hakuiweka wazi hiyo ndoto?

Amandla...
 
Back
Top Bottom