Mshulikie mzee Mbowe ambae hataki kuachia chama.Kama siyo heshima ya mumeo ningekushughulikia usingeamini
Mshulikie mzee Mbowe ambae hataki kuachia chama.Kama siyo heshima ya mumeo ningekushughulikia usingeamini
Kwa taarifa yako tu chadema ni wasindikizaji kwenye siasa za nchi hii, nyie vilaza mnatumiwa na mzee mbowe na genge lake ambao nia yao kuu ni kuwa wabunge (ajira)Hehehhee Zitto alikua machachari ila kusema aliwatisha hamna kitu. Mbona alipojitoa bado Lowassa na lissu walizoa kura nyingi za urais kuliko hata mgombea wa Act huko kigoma. Pia chadema na ACT walipata idadi sawa ya wabunge kigoma!!
Zitto lazima afahamu huwezi shindana na taasisi na umaarufu wake ulibebwa na chadema sio yeye kama yeye. Hata Mdee akishaondoka chadema hakuna atakayekua na habari naye kwani Dr Slaa ilikuaje? Alizoa kura million 2+ ila alipojiondoa tu watu wakamsahau.
So zitto aache kujipa umuhimu ambao hakua nao, angebaki angeshakua Katibu mkuu na Uenyekiti angeachiwa mwaka huu sema haraka zake zimemcost. Ajifunze kwa Mnyika na lissu wamekua patient sana na sasa wamekua cream ya chadema.
Kwani wewe na mumeo hamwezi kuanzisha chama kama alivyoanzisha Mbowe?Mshulikie mzee Mbowe ambae hataki kuachia chama.
Mbona chama kipo na ndio kinachowanyesha usiku kucha ?Kwani wewe na mumeo hamwezi kuanzisha chama kama alivyoanzisha Mbowe?
Si ajabu hata chai hadi muda huu hujapata sio kwamba uko busy la hasha.Kwani wewe na mumeo hamwezi kuanzisha chama kama alivyoanzisha Mbowe?
Mbowe hajanzishq chama bali alirithi toka kwa baba mkwe ,mliozaliwa chini ya mika ishirini iliyopita hamuwezi kujua hii taarifaKwani wewe na mumeo hamwezi kuanzisha chama kama alivyoanzisha Mbowe?
ZITTO ALIFUKUZWA BAADA YA USALITI WAKE KUBAINIKI MPAKA MGAO WA FEDHA ALIZOKUWA ANAPEWA NA TISS KUBAINIKI ASIDANGAYE WATUKama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto.
Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"
Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?
we ni kichaaMbowe hajanzishq chama bali alirithi toka kwa baba mkwe ,mliozaliwa chini ya mika ishirini iliyopita hamuwezi kujua hii taarifa
Kama ni wasindikizaji mnaogopa nini kuweka tume huru ili tuwasindikize vizuri?Kwa taarifa yako tu chadema ni wasindikizaji kwenye siasa za nchi hii, nyie vilaza mnatumiwa na mzee mbowe na genge lake ambao nia yao kuu ni kuwa wabunge (ajira)
Siwezi mfikia Lemawe ni kichaa
Kwani lema na Mbowe waliingiaje bungeni?Kama ni wasindikizaji mnaogopa nini kuweka tume huru ili tuwasindikize vizuri?
Hapo umesema amewatisha wenye Mamlaka makubwa kwamba anawatisha CCM?? Kweli Zito ndo awatishe.Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto.
Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"
Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?
Na pia kwenye jimbo lake Kikwete hakupita kumkampenia mgombea wa CCM kwenye uchaguzi wa mwaka 2010.Alipitiliza hadi Kigoma mjini ambako alimkampenia mgombea wa ubunge kupitia CCM.Kwa hiyo Zito akapita kirahisi kabisa.Kama humjui Zitto utapata tabu sana ! uliona wapi mpinzani anabadilishana jimbo na mwanaccm ? Zitto alibadilishana Jimbo na Peter Serukamba , sijui kama unalijua hili
Hii ni propaganda, kama ilivyo kwa propaganda nyingine.Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"
Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?
Ccc ilimtumia sana Zitto kama “ snitch” wao alipokuwa Chadema na wao huwaita watu wa namna hiyo kwa jina la “ Kikulacho”!ZITTO ALIFUKUZWA BAADA YA USALITI WAKE KUBAINIKI MPAKA MGAO WA FEDHA ALIZOKUWA ANAPEWA NA TISS KUBAINIKI ASIDANGAYE WATU
Baada ya wananchi kuchoma ofisi za CCM na kuharibu magari ya serikali ndio wakatangaza kwa shinikizo. Hakuna mpinzani amewahi tangazwa bila vurugu au maandamano.Kwani lema na Mbowe waliingiaje bungeni?
Mbona hakuiweka wazi hiyo ndoto?Kama ukimsikiliza aliyekuwa kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo aliyasema haya siku ya jana kuwa kuna kijana toka mwandiga alikuwa na ndoto.
Alisema haya “Ndoto iliyowatisha watu wazima wenye uwezo wa kifedha, elimu na mamlaka makubwa. Suluhisho la kutishwa na ndoto hiyo ni nini? 'Tumfukuze Uanachama!'"
Je, unakubali kwamba ni kweli Zitto ni ndoto inayowaogopesha chadema…?