Ndoto gani hutaisahau?

toghocho

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
1,172
198
eti jamani wadau, ni ndoto gani ambayo hutaisahau? mi nakumbuka nikiwa form 2, niliota sista angu anapika nikaenda jikoni kumuangalia nikakuta kapika dagaa wazuri sana, walikuwa wa kukaangwa, nikamuomba anionjeshe, ile naonja tu nikastuka nimelamba mkono mtupu.... wewe ni ndoto gani ambayo hutaisahau?
 
Mi niliota nikiwa darasa la saba niliota ndoto naclick demu, ghafla nikaamka na kukuta shuka imelowa na ninihi lakini demu hayupo. Nikaanza kumsaka yule demu niliyemuota lakini cha ajabu alikwenda kunishitakia home kuwa namshawishi kufanya matusi. :msela:
 
eti jamani wadau, ni ndoto gani ambayo hutaisahau? mi nakumbuka nikiwa form 2, niliota sista angu anapika nikaenda jikoni kumuangalia nikakuta kapika dagaa wazuri sana, walikuwa wa kukaangwa, nikamuomba anionjeshe, ile naonja tu nikastuka nimelamba mkono mtupu.... wewe ni ndoto gani ambayo hutaisahau?

Hapa unatoa upenyo watu watudandanye na ndoto zao, binafsi bwana yaani naota ndoto vizuri ila nikifumbua macho tu najikuta nishasahau...
Ila kunakitu kinaniboa sana kwenye ndoto zingine nakumbuka ndoto moja niliota nataka kugongwa na gari barabarani sasa kila nikijaribu kukimbia yaani siwezi nabaki tu kwa barabara... yaani siku ile nilikasirika sana, nikamuuliza jamaa angu akaniambia eti ili uweze kukimbia kwenye ndoto ni lazima uwe umelala kiubavu ili uweze kui-roll miguu.
Ndoto zangu tamu nyingi huwa haziishi basi inabidi niwe nazimalizia mwenyewe ile asubuhi wakati usingizi ushakata ila inakuwa ishakata utamu.
Hivi kuna mahusiano ya ndoto na matukio halisi, sometime kama nimelala unakuta matukio yanayotokea wakati huo kwa watu ambao hawajalala unayaota kwenye ndoto, labda upo rum we umelala na washkaji hawajalala basi unawasikia kwenye ndoto kama kuna stori wanapiga.
Lol.... ndotoooo
 
eti jamani wadau, ni ndoto gani ambayo hutaisahau? mi nakumbuka nikiwa form 2, niliota sista angu anapika nikaenda jikoni kumuangalia nikakuta kapika dagaa wazuri sana, walikuwa wa kukaangwa, nikamuomba anionjeshe, ile naonja tu nikastuka nimelamba mkono mtupu.... wewe ni ndoto gani ambayo hutaisahau?

Ilikua mbayaaa kwa upande wangu .... Nilikua nime disco.... Stress na uchungu nilopata ulikua so vividi kana kweli vilee.... Siwezi sahau nahisi....
 
wajameni ndoto niliyoota miaka 15 iliyopita siwezi kuisahau tena,niliota napaa angani halafu natua chini kama helicopter halafu watu wengi sana wanakuja kuangalia tukio,halafu nikapaa tena na kuondoka kuacha watu midomo wazi wakishangaa,kama kuna mtu anaweza kunisaidia maana ya hii ndoto
 
Mimi niliota nakimbizwa na shangazi na yeye alikuwa na uwezo wa kunikamata tu endapo nitapita kwenye kivuli iwe ni chini ya mti au kivuli chochote, basi nilikuwa nakwepa vivuli kama nini, nikiona kivuli tu nakula kona na kurudi juani.
 
eti jamani wadau, ni ndoto gani ambayo hutaisahau? mi nakumbuka nikiwa form 2, niliota sista angu anapika nikaenda jikoni kumuangalia nikakuta kapika dagaa wazuri sana, walikuwa wa kukaangwa, nikamuomba anionjeshe, ile naonja tu nikastuka nimelamba mkono mtupu.... wewe ni ndoto gani ambayo hutaisahau?

Nakumbuka siku moja niliota kwamba kwasababu Waislam wanalalamikia sana kwamba nchi inaendeshwa na mfumo kristu na wanabanwa sana katika nafasi za uongozi na matokeo ya mitihani, serikali imepitisha rasmi sheria ambayo inafuta viti maalumu kwa walemavu ila imeanzisha viti maalumu kwa ajili ya waislam na imezindua silabasi Rais sana kwa ajiri yao kwa ajili ya ku-boost matokeo, niliposhtuka nilijisikia vibaya sana, maana hii ndoto sikuipenda kabisa
 
Code:
Mimi niliota nakimbizwa na shangazi na yeye alikuwa na uwezo wa kunikamata tu endapo nitapita kwenye kivuli iwe ni chini ya mti au kivuli chochote, basi nilikuwa nakwepa vivuli kama nini, nikiona kivuli tu nakula kona na kurudi juani.
mh! hii ndoto nimeipenda...
 
Naomba msinicheke wadau, ndoto nisiyoisahau ni kama mwaka unusu nyuma, that day bwana niliota naliwa kisamvu cha kopo, kila nikikukuruka niamke wapii, mwisho nikashtuka, kilichoninyima raha kwa siku kadhaa mbele ni kuamka ilhali jicho la tatu linauma, jumlisha na ndoto yenyewe basi nilikosa amani mpaka basi. Mweh!
 
hahahahaaaaaaa du wewe kweli
 
jamani haya mambo ya ndoto mmhhh. kunandoto ukiota, unapostuka unatamani ingeendelea na nyingine unashukuru Mungu kuwa ni ndoto
 
Niliota nimempiga Invisible hadi akaniomba msamaha na kusema hata nitukane vipi jf sipewi bun :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
kuna siku niliota nachezea barcelona, Mjomba Messi akaweka maji maji moja mzee nikajirusha hewani nikaweka bonge la utosi! kulaleki! kumbe nimemdunda kichwa waifu. Nashkuru tulikuwa tunaishi karibu na hospitali.Dah! Tutubuni zambi zetu wakuu
 
teh teh teh! Ndoto yako inatufundisha nn? Nitamshauri my waifu wako awe anavaa helmet kabla ya kulala.
 
Naomba msinicheke wadau, ndoto nisiyoisahau ni kama mwaka unusu nyuma, that day bwana niliota naliwa kisamvu cha kopo, kila nikikukuruka niamke wapii, mwisho nikashtuka, kilichoninyima raha kwa siku kadhaa mbele ni kuamka ilhali jicho la tatu linauma, jumlisha na ndoto yenyewe basi nilikosa amani mpaka basi. Mweh!

washakutovuga wewe.
 
The day i did it with Jennifer Lopez,damn the gal knows how to do it,wait a sec it waz just a dream.
 
Back
Top Bottom